@binaupdates: Mbunge wa kigoma mjini @officialbabalevo anasema alishawahi kucheza mchezo Kijumbe Yupo China akatapeliwa pesa zake.

Bina Tv
Bina Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 11:09:09 GMT
84561
2960
86
227

Music

Download

Comments

gudinna001
Osynlig :
So what???
2026-08-25 13:02:27
0
neilah029
neilah :
mm nilicheza mchezo fb simjui hata mmoja million Moja siku ya kupewa kijumbe simpat what app walla apokei jicho lilinitok nikaja kupewa siku tano mbele kdg niweuke yan
2026-08-25 13:07:16
31
emmye339
Rania_mom😍 :
Me nae km sio wa kwanza mchezo sichezi😂😂😂😂yaani mnipe mm wa kwanza ndo naamini😂😂😂
2026-08-25 13:44:42
14
quinbwrry8
Hot chocolate 🍫 🇹🇿🇦🇪 :
Nipo Dubai nataka nianzisha mchenzo 😆
2026-08-25 13:59:35
7
mparee.offial
c.h.u.n.a🍭🦋 :
😂😂😂😂😂mtu wa kunigawia hela yuko china
2026-08-25 12:38:43
27
mamanonahouseoffashion5
MaMa NoNa house of fashion🤗🧥 :
sipendii michezo na niichukia sana sihtaji wakuuu🙌🙌🙌🙌
2026-08-25 12:55:13
13
wema.michael0
Miss M :
huo mbona ni mchezo wa kawaida sana kila baada ya siku 4 laki na 50 na wakati dada angu alicheza kwa nikole kwa siku laki 3 alikuwa anadai milion 30 walifika mpka police ndo akalipwa na pia hakupata yote ilikatwa milion 5 nzima police kwa ajili ya kuendesha kesi michezo loooh msijaribu kabisa jamani
2026-08-25 12:33:47
5
nillahkapara
Nillah :
shaliwa hela mie nikae kmy sina hamu
2026-08-25 13:57:14
3
number.e.modern.f
NUMBER "E" MODERN FURNITURES :
dah huyujamaaa katoka mbali san san namkubali san
2026-08-25 19:34:31
1
_fefepopeye7
Mfalme wa Upatu :
chezeni kwangu hamtajuta
2026-08-25 17:20:50
2
djsmile291
New manager💝🥰 :
Kuna kijumbe alinitapeli laki nne
2026-08-25 17:03:02
0
honorinamlelwa928
Honorina Mlelwaa :
yaan mm nimetapeliwa lali tano semanini inaniuma mpaka leo dah
2026-08-25 18:04:17
0
emmlishous
Emmlishous :
kabisa baba simamia hili watu matapeli saana
2026-08-26 03:43:41
0
user5656234033717
salha kisura❤️ :
upatu ndio abali yamjini babu
2026-08-25 17:54:01
0
winniecollection01
winnie@12 :
karibu mchezo wa kupokea vitu nguo,urembo, viatu, pochi n.k
2026-08-25 16:20:42
1
mackgg44
mackgg44 :
yaani baba levo wasaidie watu
2026-08-25 18:58:38
0
mrs956
mrs 💍😊💖💝 :
asa km huyu wangu yupo zambia najut mm
2026-08-25 21:33:25
0
user4265312935694
user4265312935694 :
sijawahi kuliwa
2026-08-25 13:58:00
0
sabinamgao
BINTI pekee na YESU :
🤣🤣kijumbe yupo china
2026-08-25 14:11:59
0
lucy.swai6
Lucy swai :
mweshimiwa Asante sana wasaidie hao wadada wapate ela zao vijumbe wamekua kero nashukuru sana wasaidie hao waliotapeririwa wahache utaperi
2026-08-25 18:30:43
0
izzywizy3
MAKALA👑 :
uwongo
2026-08-25 17:34:12
0
issalizik
kizazi hasi :
mmh balaa
2026-08-25 11:13:34
1
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About