@prophet_richardmagenge: mwezi wa 12 Mungu qlinipa Neno la Makamu wa Raisi na LIMETIMIA NENDA YOUTUBE KASIKILIZE

Richard Godwin Magenge
Richard Godwin Magenge
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 11:26:18 GMT
44834
1136
26
89

Music

Download

Comments

gids0076
gids0076 :
Perfect prophesy
2026-08-25 18:13:04
1
prophetsinger
#prophet_Singer :
Neno la huyu mzee ni SHERIA nipeni muda tu kidogo mtanielewa
2026-08-25 13:38:51
14
tusahg
tuntu :
Sasa kwa nini unatuambia jamani na Mungu kaongea na wewe…. Nimeuliza tu jamani siyo kwa ubaya
2026-08-25 14:43:34
7
brother.fidelis
Brother Fidelis :
Maamuzi magumu huwa ni magumu sana.
2026-08-25 13:42:49
7
bmcharles
charzybm :
When was this posted?
2026-08-25 19:41:05
0
idubula.com
Kemmy Rwechungula Francis :
kumekucha..!
2026-08-25 18:47:32
1
jovini_27
Jovin :
imetimia
2026-08-25 13:08:27
3
blackdzu
Filo 🇹🇿 :
Duh
2026-08-25 13:26:40
3
cyprianmtoo
Cyprianmtoo87 :
leo yametimia baba
2026-08-25 17:21:01
2
giana.frank
Giana Frank :
Makamu amejisafisha mbele za Mungu na mbele za wa Tanzania,na ingekuwa heri wanaojiita wabunge nao walitakiwa wote wajiuzuru kwasababu hawakuchaguliwa na wananchi,bali walimwaga damu za wa Tanzania na wao kujitangaza kuwa viongozi huku mikono yao ikiwa imechafuliwa na damu za wa Tanzania,waombee wajiuzuru wote na wawaachilie akina Polepole na wote waliowaficha la sivyo hasira ya Mungu haita waacha salama
2026-08-25 19:12:17
1
leah.mniko
Leah Mniko :
amina
2026-08-25 11:48:00
2
aarongosbert
aarongozbert :
Mungu ni mwema sana 😥
2026-08-26 04:55:28
0
vinnykyando
vinny driver :
chadema tunapenda haki😊😊
2026-08-26 07:49:27
0
mchungaji_wa_zamu
Pastor Danny :
Mtu asiyekuelewa basi hakufahamu, man of God ulinena imetimia
2026-08-25 17:13:54
1
norahfrank8
norah f360 :
leo imetimia sasa.asingefaa kwenye hiki chingu.ni kichunhu na kinamhitaji Mungu cna
2026-08-25 13:24:54
6
neda6854
Neda6854 :
Ko hukumuombea😏🤔🤔
2026-08-25 13:37:02
2
user92368266956467
moh123 :
nanyie mnajipa Kaz maan
2026-08-25 19:27:46
0
anduru147
am14578 :
Kumekucha Tume ya kutafuta nani walihusika machafuko October 29 imeanza kazi jana leo mtu anajiuzulu na kuachana na siasa Kumekucha
2026-08-25 15:21:42
4
itsreally_philley
it's really_philley :
:"when I grow up I will carry a gun and not a pen, A mother shout a baby you will never leave to carry a gun there's no meat for us😌🫴🏻" a dying child 😪🫴🏻
2026-08-25 17:22:04
1
To see more videos from user @prophet_richardmagenge, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About