@albayaanonlinetv: WAISLAMU WAMEJITOKEZA KWA WINGI MAULID YA KITAIFA MNAZI MMOJA-DAR ES SALAAM Dar es salaam Waumini wa Dini ya Kiislamu wamejitokeza kwa wingi katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kushiriki Maulid yaliyofanyika kitaifa usiku wa Agosti 24, 2026. Maadhimisho hayo ni sehemu ya kumuenzi na kumkumbuka Mtume Muhammad (S.A.W), pamoja na kutafakari na kuendeleza mafundisho yake katika jamii. Kwa mwaka huu, maadhımısho hayo yanatanyıka chinı ya kaull mbiu isemayo, “Tabia Njema na Matumizi Sahihi ya Teknolojia.” Kauli mbiu hiyo inalenga kuhimiza waumini na jamii kwa ujumla kuwa na maadili mema na kutumia teknolojia kwa njia yenye manufaa na inayozingatia misingi ya maadili na utu. #albayaanupdates #albayaanonlinetv

albayaanonlinetv
albayaanonlinetv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 11:31:39 GMT
323
21
1
1

Music

Download

Comments

dullafani587
dullafun :
yani matamanio ya ufanyaji yakiwa kwenu ni sahii ktk utekerezaji lkn yakiwa upande mwingine yanakuwa tofauti na kupewa jinc ya matumizi yake lkn yoote ni matamanio....hakuna uchamungu hapo wala mafundisho...isipokuwa kuna maelekezo yenu...kwa nafac zenu...sooote ni wa Allah nakwake tutatejea na yatawekwa wazi yaliyomo ndani ya nafc zetu sio ktk media yalioonyeshwa.
2026-08-25 11:42:17
0
To see more videos from user @albayaanonlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About