@jamvilahabari: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, alitoa hotuba yake katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) mkoani Pwani, kabla ya taarifa za kujiuzulu kwake. Katika hafla hiyo, Nchimbi alitengewa muda wa dakika 10 kwa ajili ya kutoa hotuba, lakini alitumia takribani dakika moja na nusu pekee, akimaliza hotuba yake kwa ufupi. Hafla hiyo ilifanyika Agosti 22, 2026, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi JNHPP, mradi wenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme. #jamvimediagroup
jamvilahabari
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 11:40:32 GMT
Music
Download
Comments
Sabina :
vema .mama anajua yote acha amalize mwenyewe
2026-08-25 19:05:46
0
Yusuph Samson :
😂😂😂
2026-08-25 15:25:16
0
To see more videos from user @jamvilahabari, please go to the Tikwm
homepage.