@waziri_wa_vijana: Macho ya Fursa. Punguza Itifaki, Tukutane Site. #waziriwavijanananauka #wizarayavijana #punguzaitifakitukutanesite #vijanatuyajengetanzanianiyetu #kiongoziwawotemaendeleokwawote
Waziri Wa Vijana
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 11:48:17 GMT
Music
Download
Comments
Mayombi Msukuma wa Igunga :
Mtaji wa wa kwanza ni Afya
2026-08-26 04:52:27
242
Dembele@MD17 :
Good heath is a everything 🙌
2026-10-09 06:44:27
0
Twiga🦒 :
Kupitia motivation zako nimeweza kuiona fursa na kufanyia kazi
2026-08-27 15:14:43
38
COSTANTINE SIMON :
umekosea kiongoz mtaji wa kwanza wa mwanadam ni uhai
2026-09-18 06:30:23
9
El Niño :
Wala sio akili ni uhai N afya njema kwenye afya ndio utakuta afya ya akili na hisia
2026-09-16 16:50:52
9
honey :
Thanks for sharing,
2026-08-27 15:49:38
5
عيشه عمري :
hii ni kweli kabisa
2026-08-28 06:58:05
5
modest kayombo :
ubarikiwe sana
2026-08-26 11:13:21
5
Morgan(Automotive Services) :
Sio akili bali ni afya bora
2026-08-26 13:30:26
5
Shaddy :
ukweli kabisa
2026-08-26 06:09:39
6
Kamando Eddie :
fact..
2026-08-26 16:39:44
5
flexible SarafinaTZ :
Mungu atutunzie wewe ili vijana tuweze timiza ndoto zetu 🥰
2026-08-30 13:12:11
8
Ashirafu Abdallamhed :
Nakubali Kiongozi
2026-08-26 09:42:49
6
Chili juma ✅️ :
ni sasahihi kiogoz
2026-08-26 16:50:30
6
Emma🌹 :
Kweli kabisa 🙏🙏🙏
2026-08-25 12:02:36
6
Rozee :
ukweli bro
2026-08-26 18:12:03
6
Coach_sparrow :
Education
2026-08-26 21:44:07
5
SHARIFU ROBERT :
fact
2026-08-26 05:10:56
6
Mr INNOCENT :
hii ni kama story lakn zingatia mwanzo mwisho
2026-08-26 20:02:38
5
Frank Nyello :
you deserve to be minister of youth and development
2026-08-26 09:02:01
24
drmanager3 :
correct
2026-08-26 00:03:53
6
Abraham Blass :
yan huwa sijawah acha kujifunz
2026-08-26 20:47:57
6
MANINGEH TRENDS :
Yaah chief big fact 💪
2026-08-25 21:18:43
6
Yohana Kika :
asante kwa elimi mkuu
2026-08-26 05:50:55
7
To see more videos from user @waziri_wa_vijana, please go to the Tikwm
homepage.