@young.sule38: madereva tujitahidini kufata sheria bila yashuruti

young sule
young sule
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 11:51:19 GMT
35178
1049
72
316

Music

Download

Comments

salum.khamis954
salum khamis :
0presh ya nini
2026-08-25 13:54:14
0
justtajmal
Ajmal :
na bado watakoma hatuvai helmet na leseni hatuna na road tunaingia
2026-08-25 18:30:44
16
yussufabeid4
yussufabeid4 :
mashkkk nchhi hiii
2026-08-25 14:18:15
0
aliy.omary12
Thiago Ramiley 06 :
ukienda peleka kesi Honda yako imeibiwa au umezulimiwa utaambiwa itafute mwenyewe ila mambo ya kuwatia harasi raia mbio mbio
2026-08-25 14:48:27
15
bw_cheklas
Abdul Latifu315 :
natafuta honda ya charge tu😁😁
2026-08-25 14:14:10
7
yuss_man
Yusuf Amin :
ilikua Nina mpango wa kununua honda ila nimeghairi
2026-08-25 14:13:06
2
dmmlsi2
Hassan :
imekua biashara sasa
2026-08-26 00:04:14
0
kidbr33zy_p0p
Br33zy_p0p :
Boda tushazoeya harakati izo kawaid Tu🙌🏽 Haish mpka iishee
2026-08-25 18:02:05
1
faridkhamis98gmail
[email protected] :
lini hii tarehe gap
2026-08-25 13:45:04
0
zanzib12345
🇨🇦KIMIDIY👣 :
Dah Honda yangu yapil apo 😅
2026-08-25 23:54:05
0
muhammad.ndumba
Muhammad ndumba :
na bado nyinyi mnasema hakuna raisi kama mmwinyi sasa vp mbona malalamia mimi naona wafanya vizuri2
2026-08-25 19:46:15
0
user8342116113618
Omar bare :
2026-08-25 19:17:16
0
daru.tz
Daru.wesh🥸🥸 :
Tutajambaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwakauuuuuuuu😢😢
2026-08-25 22:35:49
0
abuu_19
Abuu Reelan :
ukishaona traffic light au kuna msafara usijipeleke utakamatwa
2026-08-25 20:20:22
0
ethic_h21
F@h@d_☆ :
dah💔
2026-08-25 20:36:22
0
saed_062
SaedGameZN :
Fain kwa ajili ya maendeleo yetu 😂
2026-08-25 19:59:45
0
dmmlsi2
Hassan :
ukamataji wa vyombo vya maringi mawaili zanzibar imekua biashara ya mapolis na mahakama
2026-08-26 00:05:31
0
aliy.omary12
Thiago Ramiley 06 :
ingekua bima na RODI vyote Kamil km 35 kila mtu angefata Sheria .. watupunguzie na gar waweke full bima na rodi 45 bs .. ili na Sisi tujipambanie
2026-08-25 19:31:02
0
mrwhitecar2
Mr white car :
sasa inakuwaje ata munasimama
2026-08-25 18:05:48
0
mbaruksaid12
mbaruksaid12 :
mnada upo lin kun hond nimeipend apo
2026-08-25 18:12:53
0
alimohd2182
Ali Mohamed :
na Bado Dala Dala za mafuta zikiondoshwa rod mtaiyona chungu
2026-08-25 18:19:05
0
dmmlsi2
Hassan :
serekali iangalie upya ukamataji wa vyombo vya maringi mawaili aina hiii sio sahihi inapunguza nguvu ya utafutaji na maendeleo hapo kila 1 apewe fain yake na mda wa kuilipa
2026-08-26 00:10:13
0
kim50.com
KIM :
opereshen yanin iyo
2026-08-25 19:04:11
0
fahmizo08
fahmizo :
mhhh
2026-08-25 19:08:52
0
jmk_2024
🌴 :
Hapo si kwa traffic light za kwa mchina na mpendae
2026-08-25 19:34:57
0
To see more videos from user @young.sule38, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About