@rizzboy2235: bundi amekaa juu ya gali kutoka banana mpaka hapa kwaraisi

🌹 Rizz 🌹 dady 🌹
🌹 Rizz 🌹 dady 🌹
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 12:04:32 GMT
255115
16427
770
2684

Music

Download

Comments

shack.donah8
Shack Donah :
ambao tunaangalia saaa 9 usiku tujuane
2026-08-26 00:03:47
155
snoray45
mbosso khan :
naangalia saa nane usiku jmn🤣
2026-08-25 22:54:36
105
.aim.minny
🦋 Aim Minny 🦋 :
Anafanana na mtu maarufu 😳😳
2026-08-25 18:18:01
128
nuruwainnuruwainr
Ukhty Nuru :
tunao angaliya saaa kumi usiku
2026-08-26 01:24:38
88
dorryc_
dorryc_💞🦋💫 :
ila bundi ana baby face kunishinda 😂😂😂😂
2026-08-25 20:40:21
1
zalhatkii
⚡🔥pœßh🔥põm🔥 :
Sipendag umbea nusu nusu
2026-08-25 14:43:36
306
chimbo_moja
CHIMBO 1_255 :
kuna baadhi ya ndege akiwemo bundi huwa wanajua kwa mtu au mnyama anaekaribia kufa endapo Seli za mtu zinapopungua au zinapokufa niuwezo wao walipewa na Muumba,ndio maana Bundi anapotua Kila siku juu bati au mstimu hapo mahali aitochukua Muda mrefu kutatokea msiba
2026-08-25 19:36:09
122
david.aloyce
brother d 🤣🤣 :
camera man umeshindwa kutupiganiaa
2026-08-25 14:36:10
73
emmietz6
Emmy 🛍️ :
Bundi ana kope nzur
2026-08-25 17:42:14
18
irene.charles083
miss ree🌸 :
Jamn msimtoe uyooo
2026-08-25 21:14:59
17
tatu.abaya.foundation
Tatu issa 🌸 :
Kwani bundi mwenyew anasemaje😁
2026-08-25 15:02:42
19
khadijahsalum
KhadijaIrene :
bundi mbona ana sura kama ya ex wangu?
2026-08-25 19:46:45
26
thomastheone32
Tomy32 cap-cut :
camera man mbona utulii?
2026-08-25 18:53:27
2
seiro747
disera :
bundi handsome kuliko ex wanguuu😂😂😂
2026-08-26 00:36:20
2
ashney034
@shney_kidoty 🦋🦋💙 :
camera man tulia bc 😆
2026-08-25 14:44:35
2
gweba.officially
GWEBA OFFICIALLY :
jamani mi namuogopa mnanitisha camera man
2026-08-25 20:36:59
1
mrs.mpaji
🦋💞💦its mom lii🦋🦋💦💞🦋 :
mwacheni uyoo jmn msimtoe mwacheni aangamie ameniumiza sanaa msimtoee mwacheni uyooo 🤣🤣🤣
2026-08-25 21:37:05
7
babrizo1
hatibu :
mm na tak yai lake Kuna milion40 chp
2026-08-25 14:43:01
8
patrich532
Pat-rich😎 :
bundi mrembo 😂😂
2026-08-25 14:11:26
58
wemasilva678
Wema Silva :
bindi mzuri ana kopa♥️mwenyewe 😂😂😂😂
2026-08-25 20:25:35
6
baba.naa2
BABA MII :
Fikra potofu aliyewaambia Bundi ni mikosi ni nani?
2026-08-25 20:53:13
19
usersheshe6
miss ninoh :
jaman nilisikia bundi mchana awezi kuona huenda ajui aelekee wapi kwa vile ni mchana
2026-08-25 14:55:19
57
davis74045
~Davis~ :
camera man usizoom ivyo mzee😳😳😳watu tunaogopa
2026-08-25 20:20:08
5
To see more videos from user @rizzboy2235, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About