Fanya mambo yote ila Quran na swala ni mambo muhimu zaid
2026-08-25 17:51:41
95
mwene96 :
mpira tu hatujui ila mambo yamo
2026-08-25 14:22:51
46
kaka mkuu :
Ahmed ally hakika mungu kakujaalie kipaji kitumie kwa kheri na kitakueleta mafanikio in sha allah !
2026-08-25 16:48:44
54
Malik Malipula :
Mashaallah, ki Ali komwe kinashangaa tu
2026-08-25 18:06:28
13
Mbaraka Ngotonyingi :
Mashalhaaah 🙏
2026-08-25 19:28:56
0
idrissamsilagi161 :
fanyeni mchezo lakini sio istazai kwenye dini
2026-08-25 18:48:09
5
realmodadi1758 :
Kama ally kamwe kakubari mie nani
2026-08-25 17:52:15
5
dadiooo :
mashllh.
2026-08-25 15:11:56
1
ally said :
Kila upande nakukubali
2026-08-25 14:50:25
6
𝕊ℍ𝔸𝔽𝕀𝕀 :
Nilichogundua kwa utafiti wangu usio rasmi ni kwamba waandishi habari wengi zaidi ni waislamu lakini pia wamesoma dini kwa kiasi fulani vizuri na ni wafanisi wakubwa katika idara hii ya habari na matangazo.
2026-08-25 19:17:30
13
Bamany :
Mashaallah semaji liko vzur cn
2026-08-25 17:57:40
7
lamela :
hakun km Ahmed ali .mungu kamp kipaji cha kuw na uwez wa kubuni furah hat mweny ma jonzi
2026-08-25 14:37:15
12
matumbaku. og 2026 :
mashallah
2026-08-25 20:40:39
3
userswadakta :
eti zimeishaa!!!
2026-08-25 18:48:10
2
Siraj yusufu hassan :
الله الرحمن الرحيم الملك القدوس السلام المؤمن المهيمن العزيز
2026-08-25 18:31:55
5
mwene96 :
mashallah
2026-08-25 14:22:33
2
RAMADHAN MWINSHEHE🥰 :
mashallah ❤️
2026-08-25 18:27:05
1
""zaphary"" :
TAKBIR
2026-08-25 19:54:02
3
وكاش إبن صمر 🥊🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
Mashaallah mashaallah mashaallah
2026-08-25 14:30:41
2
abdallahmashaka6 :
MWENYEZI MUNGU AKUJALIE MAISHA MAREFU NAYENYE MAFANIKIO MJA
2026-08-25 18:27:11
1
pozkid :
uyu jamaa 🔥🔥
2026-08-25 18:45:56
1
To see more videos from user @albajoun25.com, please go to the Tikwm
homepage.