nani twende forodhani pale tuwe tumekaa tunaangalia wasanii 😂
2026-08-26 07:39:53
2
atouwa :
mi nilizan hamto ruka maan hamna shobo na wasaniii asa sijui imekuaj ila sw ilove Tanzania
2026-08-26 12:49:36
1
MUSTANG_18 :
ao watu wingi ni ma dancer wake
2026-08-25 13:27:07
3
_p3rcy :
Dedeee
2026-08-25 18:32:47
0
young j :
kumbe wazanzibar mnatukubali wabongo
2026-08-25 18:01:42
7
Ǐřǎšvoicetz :
Kwani kaitwa
2026-08-26 07:56:32
1
Haroun bm :
2026-08-25 18:51:25
0
YOUNG PAPA 🪂 :
2026-08-25 14:35:42
0
GEE :
Zanzibar nzima ilihamia forozan
2026-08-26 15:08:21
1
Saidy Mtu makini :
jamani makachu hadi usiku aghaa mnatisha
2026-08-26 18:05:49
0
Hassan HD :
2026-08-25 13:48:17
0
Real moh :
mbn nanyie zanzbar hamna msimamo umlisema hamna shobo imekuaje tena
2026-08-25 13:31:02
4
𝕭𝖎𝖌𝖌𝖎𝖊 🦍🥶 :
Tuna walipa risk maquma awa 🥰
2026-08-26 04:29:21
1
MUSTANG_18 :
ila hatun shobo zenji
2026-08-25 13:27:29
4
Call me MCHIZI_MØks😎 :
sie wa Zanzibar hatuna shobo na vichongo, uyi diamondi ni wa kwetu Wanzazibari ndy maana tumejaa 🤣🤣🤣
2026-08-25 15:22:35
2
Obadia Mwendo :
wamemuweka mbunge wa watuu..nyumaa hukoo...😂😂😂baba levo...
2026-08-25 18:02:59
2
dj fahway5 :
awa Wanangu wa zenji bado kuliwa tuuu
2026-08-26 16:40:36
1
MACOD€ MUSIC🎤🎹 :
@MACOD€ MUSIC🎤🎹:@MACOD€ MUSIC🎤🎹:@MACOD€ MUSIC🎤🎹:@macode:Nakumbuka mwaka 2006 niliitwa na bibi yangu kijijini PEMBA aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-08-26 12:12:13
0
ANGAI SHOP ♥️🥶 :
NAFILA WAZANZIBAR ME MBONGO NAISHI CHUKWENI
2026-08-26 18:02:19
1
God malimao :
🥰🥰🥰
2026-08-25 14:58:36
2
To see more videos from user @mo_huncho_26, please go to the Tikwm
homepage.