@abdallah.amani.hu: ukiona mmeachana tu kisha bila ya kupita muda kuna mtu akakaa nafasi yako. jibu laka hili hapa #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp #quran #swahilitiktok

Abdallah Amani Hussein Gunda
Abdallah Amani Hussein Gunda
Open In TikTok:
Region: IR
Tuesday 25 August 2026 12:30:43 GMT
8456
455
40
24

Music

Download

Comments

kyala695
kyala :
nikweli. shee umeongeya kweli. yametukuta ayo
2026-08-27 08:14:50
2
leylaaseif1
💕🦋Ukhty lela💕🦋 :
nikweli ila kama tadinu tudani
2026-08-26 18:18:48
2
userjeshi.la.mtu.m
userjeshi la mtu mmoja :
kweli kabisa mm Hadi nilikua namsaidia uyo dada namwambia usipike njoo ule kwangu mwisho wasiku nikaondoka bc nikasikia na majirani kwamba yeye ndio kawa mke sasa
2026-08-27 10:29:38
1
azizanahigombere
Ayaan :
Mimi nikiachika siolewi tena Wallah
2026-08-25 16:38:52
2
thevoiceofahlulbayt87
The voice of ahlul bayt :
Ahsant hunaka
2026-08-25 22:57:28
1
suleiman.ali6614
Suleiman Ali :
Asante sana Ustaz
2026-08-25 17:03:37
1
innallah.maaswabir
INNALLAH MAASWABIRINA :
nashauri usipende kupitiliza weka akiba watu hawatabiriki
2026-08-26 13:29:21
1
asiandossa843
Asia Ndossa :
nikwrlii
2026-08-27 09:07:00
0
smailegirl001tz6
Smile girl&..16 🫶🌹 :
Kabisa wallah
2026-08-26 09:12:08
1
zai.s7398
zai :
nikitoka siolewi na sitapenda mtu tenaaaaaa
2026-08-26 18:27:02
1
swabrina9558
swabrina :
ni kweli
2026-08-26 11:14:13
0
victoria.petro2
Victoria Petro :
hii imenitokea shehe, maisha hayo mungu ndo anaejua ndoa miaka 10 alaf unaachwa pamoja na kupambana kote kule ili maisha yawe mazur inauma sana
2026-08-27 12:33:22
1
miriam.siundu
Miriam Siundu :
🥰🥰ni kweli kabisa mm wangu vile nilitoka tu mwingine akaiingia
2026-08-27 10:02:48
1
mweda
Yasser :
sahihi dady✌️
2026-08-27 11:42:03
1
ummu.swaleh05
iptisam Al-makhzoumy :
Hii ina Maanisha nn
2026-08-27 05:46:46
1
baby_nana96
baby_nana :
asante baba umeongea zidi kutuelimisha☺️☺️
2026-08-27 11:08:13
1
dez.dezdely
dez Dezdely :
asant sana baba ✌️
2026-08-27 05:42:29
1
user3233637527578
fayrich :
nikwel kabisa kka yng
2026-08-26 20:33:42
1
disminder.shifa
Disminder Shifa :
Ni kwel Kabisa
2026-08-26 19:40:02
1
user4587403677827
Wege :
nikwel
2026-08-27 09:54:12
0
fatmakassim884
fatma884 :
nikweli
2026-08-26 18:11:59
1
user90805229619520
Samsung :
Mashallah
2026-08-26 13:08:37
1
user8296305586530
khulayyf :
mh
2026-08-25 16:42:05
1
ummu.swaleh05
iptisam Al-makhzoumy :
Sijaelewa
2026-08-27 05:46:55
1
scorpionquee01
muzdalifah :
sio kweli kwa asilimia zote
2026-08-26 14:43:44
1
To see more videos from user @abdallah.amani.hu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About