@ali_wisdom: Ni raha kiasi kuwa na rafiki wa kweli... siyo kwa ajili ya pesa, cheo, wala maslahi fulani. Ni kuwa tu vichaa wawili mnaocheka na kufurahia kila kitu pamoja. #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou

ali_kim
ali_kim
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 12:36:30 GMT
138240
6888
158
1400

Music

Download

Comments

chibudenga07
chaguele :
Nina mengi moyoni nataman nipate ata mtu anikumbatie nilie tu 🥹🥹
2026-08-26 06:21:19
10
ukht.rouhy
روحي :
nipate rafiki mmoja namimi mwema mcha MUNGU asiekuwa na husda tupendane tuwe zaidi ya ndugu 🥰🥰🥰🥰napenda kuwa na rafiki ila sijawah bahatika
2026-08-26 06:55:00
7
mamabeby09
Mama baby🇹🇿 vs 🇴🇲 :
ngoja nianze kucheka😅😅😅😅
2026-08-26 13:20:53
1
khamiskamtoi
Ulamaa :
Nina mwanangu Mmoja Ambae ni Kichaa huwez Kuamini mpaka chips au msosi Kwa Mama ntilie tukikutana tunagusa wote watu wananishangaa sana yani
2026-08-28 07:17:46
0
saidy_januzaj
JANUZAJ :
Nimeamini ni ngumu sana kupata rafiki wa kweli, NILICHOJIFUNZA - PAMBANIA MAISHA YAKO - WATU WANABADILIKA 💔
2026-08-27 12:26:01
0
user6000638661638
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
kabisa
2026-08-30 13:55:39
0
abubakarbashiru25
Abuu 777 B$ 🤙 :
nitampata wapi kichaa mwenzangu wa kufarahia pamoja nimechoka walai
2026-08-26 09:49:45
1
fafamully1
🌸Fafa🌸 :
mwenye yuko tayar tuwe marafk wa kweli kwa ajili ya allah🥺🥺
2026-08-27 18:55:14
1
youngfighter67
Yôûñg Fîghêr :
Mwanangu Sule popote ulipo God akupe afya njema siku zote za maisha yako
2026-08-26 15:24:42
1
fatkhatibu
mamy faa :
kweli kabisa
2026-10-16 18:39:03
0
zaraalbatross___
zaraaaaaaaaa :
kweli swadakta
2026-08-30 18:51:53
1
liansaba07
liansaba_07 :
Can i get such friend sm tired of fake friend😌
2026-08-27 21:39:31
0
omary.athuman371
Omary Athuman :
wachache sana weng wanafiki kakaaa
2026-08-26 10:04:39
2
harith.hemed
hemed :
Raha sana
2026-08-25 15:43:48
0
zaituniramadhan66
Zaituni Ramadhan :
jaman natamn nimtag kichaa mwenzang 🥰🥰
2026-08-26 08:30:31
1
jchars98
Donchars🇹🇿 :
Fight alone wana wengi jau😎
2026-08-29 08:34:51
0
ummycollection
UMMY COLLECTION1 :
my dida Allah akurehem
2026-08-25 14:08:26
1
vaydeoptimum
vaydeoptimum :
Me nishampata jamaniii 😁😁😁
2026-08-26 07:58:00
1
shamim.joseph8
Shamim joseph :
Ni raha sana wangu mm nikichaa
2026-08-26 08:07:28
0
mariammoha09
Mariam Moha :
hata mwenza
2026-08-26 11:42:36
1
alameenmohd4
سعيد محمد 🖤 :
mi ninapokuja suala la neno "Rafiki" sitaki kusikia kitu haswaa 😂 hio ni hamu nilikua nayo zmn now unapata Rafiki ila unaogopa kumdhihirishia ww ni nani , so Kuna urafiki Gani saiv 🤷‍♂️cause yoote hio ni kw sbb ya zama za watu tulionao wamebadikika sn "now mikigomban kdg tu na huyo msiri wako utazisikia mpk habr zako redioni redioni wakt ww hata kua na huo moyo wa kutoa Siri za mtu huna 💔
2026-08-26 17:35:29
0
hasmavitambamorogoro4
hassbby🥰 :
Ikifikie popote ulipo rafiki ang aisha nakupenda mno 🥰🥰🥰
2026-08-26 21:21:49
0
selinafocus195
cute selin :
asikuambie mtu mjinga mwenzangu popote ulipo mungu akutunze
2026-08-26 17:44:10
0
b.kavishe45
manyata :
l love famly
2026-08-26 12:00:37
0
kinana543
kinana :
hakika
2026-08-25 18:18:12
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About