@zanzibarsailor: MAANA YA METHALI: Kozi mwana mandanda kufa na njaa kupenda #fypシ゚viral #zanzibar🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #methali

Baharia
Baharia
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 12:52:18 GMT
8373
489
24
14

Music

Download

Comments

masekepa.asangama
Masekepa Asangama :
tafsiri ya hicho cha Mtema kuni...nadhani asili ya msemo huu mi tabora kwa wanyamwezi ila tufahamishe kwenye huo msemo
2026-08-26 07:09:25
1
elka_luwa
Michael_Max :
asiyejua maana, amejua maana..
2026-08-25 14:28:49
2
loftymatambo
LOFTY MATAMBO :
Kaka nimekukubali
2026-08-25 13:05:37
2
shahira.abdulraza
Shahira Abdul-razaq :
methali ya kozi mwana mandanda kufa na njaa kupenda na mgaagaa na uka hali wali mkavu ipo tofauti
2026-08-25 20:48:22
1
dr.nassirshaaban
nassirshaaban682 :
Mandanda ilikua na tafsiri tofauti akilini mwangu
2026-08-26 09:07:11
0
kiongos.vic
kiongos vic :
...mwalimu mwanafunzi nataka mtihani december
2026-08-25 15:07:52
2
sunday.linus.shau
Sunday Linus Shauritanga :
nakukubari sana brother kazi nzuri
2026-08-26 05:22:11
0
bosswalk_
bosswalk_ :
Wewe jamaa nakukubali sana namna unavyoelimisha jamii, unaitumia mitandao kiusahihi kabisa yani.
2026-08-25 18:14:13
1
nickson_hamisi
Nick Mwalimu :
Nakufuatilia sana aisee
2026-08-25 17:49:45
0
sophiasije
You First 💕 :
wabaadu wakatabahu Fakhil maana yake ni nn?
2026-08-25 18:04:49
0
elly.eliud
¹Elly :
mandanda si matako? 😂😂😂😂
2026-08-25 20:50:43
1
malkia.mnubi
Malkia Mnubi :
Mlilala handing'wa handing'wa mwemacho haambiwi tule.
2026-08-25 16:44:36
1
motizmwas
Motiz :
azungukuye kando ya bahari bila shaka atamnasa samaki na kwenye kitowea chake hapakosi samaki😊
2026-08-25 13:03:21
1
invillsalma
Mariam ❤️ :
😂😂😂mwanzo tuambie mtema kuni alikuta yepi?
2026-08-25 13:00:53
0
olvarmark
OlvarMark :
na maana ya "cha mtema kuni"
2026-08-26 08:54:03
0
To see more videos from user @zanzibarsailor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About