@joram_william: Unadhani mazoezi yana msaada kwa mwanao? Jibu ni Ndiyo Kama mwanao Hana shida zifuatazo 1. Pindi anazaliwa alichelewa kulia 2.Alijasaidia ndani ya tumbo la mama akanywa yale maji 3. Alipatwa MANJANO 4.Alikuwa na Degedege 5. Alizaliwa premature 6.utindio wa ubongo 7. Mgongo umepinda 8.upungufu wa madini 9.kilo za mtoto kuwa chini kulingana na umri 10.maambukizi ya ubongo +255767039216 #ChildDevelopment #Parenting #canada #ParentingTips #drjoram

Lishe bora clinic
Lishe bora clinic
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 12:56:01 GMT
32832
971
40
10

Music

Download

Comments

bahati.charles05
Bahati Charles :
kuwa makin dr umemchek n kumchanja chanjo y porio?make porio n ugunjwa hatar san inaperekea kumludisha mtoto nyuma kama ukimpata mtoto hudhoofika n kutotembea kwahy kuwa makn kipenzi muombe mungu,n jitahd kuomba kwa maombez y mm mtakitafu lita muondoa mafundo yote amsaidie
2026-08-26 07:40:03
3
aziza.mgambo2
AZIZA MGAMBO :
Allah atamfanyia wepesi,kaonane na madaktari
2026-10-21 10:13:49
3
jonathanmsisi
MSISI ARTS_TZ :
polen saaana mungu atamfanyia wepesi kwan anatatzo gn
2026-10-17 10:36:08
2
magdalenaelikunda
magreth selanyika :
MUNGU ni mwema, usiache kuomba mpeleke pia hospital, ipo cku atatembea
2026-10-18 17:56:07
2
amanda.anton7
Amanda Anton :
pole san mung yup
2026-10-18 08:01:40
1
zawadwema
zawdy zawady :
Mungu yupo atapon
2026-10-22 07:28:26
1
nancy15177
@nn❤💍 :
Atatembea mungu ni mwema
2026-10-21 05:49:29
1
ndauka599
ndauka599 :
pole sana mtto
2026-10-07 15:04:23
2
jenniferfrankmosh
Jennifer :
mungu atamfanyia wepesi
2026-10-01 17:32:48
1
msaso3
msaso :
muombee atatembea tu
2026-10-02 11:26:20
1
officialree44
reecute🌸 :
wangu alipata ajali ubongo bado haujarecover vizur
2026-09-04 16:27:21
2
miss.sophie379
Miss Sophie💞 :
Hili zoezi zuri sana mtot wa kaka ang alikaa miaka minne hatembei hii ikaja msaidia
2026-09-26 09:18:27
2
rahmaruu47
Rahma🦋Ruu🙏🧕📿 :
kwauwezo waalaah atatembea🙏
2026-10-19 12:16:11
1
rukiarashid85
rukaiya :
jamani pole mm pia wa kwangu anamwaka nafanya hivi jaman
2026-10-21 13:49:06
1
jesseshaomi
shaomi :
Mungu atamponya nina ushuhuda na mdogo wangu miaka mitano hatembei wala kuongea ila saiv yuko vzr
2026-10-19 16:17:44
1
recho.rwambali
Recho Rwambali :
Pole sana
2026-10-17 18:32:08
1
evodear19
evvy64 :
Atakua sawa
2026-10-16 05:38:50
1
mabangeshop
Mabange shop :
Mungu atamsimamia
2026-08-26 10:23:11
1
zakariasamsoni0
ZAKAYO mc :
au kabemendwa
2026-09-12 11:52:20
1
reyyan37
Smile🥰 :
Mamaangu aliwahi kua na mdada wakaz mtoto wake alikua hatembei ( mtoto wa dada wa kazi) akantaftia dawa mabadiliko yakaanza kuonekana sijui hata alitoa wapi jamn🤦‍♀️🤦‍♀️
2026-09-06 13:12:49
0
user2173037000845
Zulfa :
muamin mungu atatembea
2026-10-18 19:25:09
0
mwelu7151
mwelu :
wa kwangu nilifanya hivyo hivyo Mungu atamsaindya kipz
2026-10-09 14:35:28
0
user5075061543022
joycerichardchacha :
dada pole san
2026-10-18 06:42:13
1
user3207071128780
SIMONI J LAURENT 3207071128780 :
Mung atamu saidia
2026-10-13 14:59:29
0
zabibuolombe692
Mrs Baraka Teyumwete :
Mungu tenda jambo kwa mtoto huyo[Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-10-16 22:51:07
5
To see more videos from user @joram_william, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About