@bbcnewsswahili: Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma, kwa mujibu wa barua inayosambaa mitandaoni. Mpaka sasa hakuna mamlaka iliyothibitisha taarifa hiyo ingawa BBC imezungumza na vyanzo vyake vya ndani serikalini vilivyothibitisha taarifa hiyo. Sasa je Emmanuel Nchimbi ni nani haswa, alianza lini siasa? Bosha Nyaje anaelezea #bbcswahili #emmanuelnchimbi #foryou #fyp #siasatanzania
bbcnewsswahili
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 13:03:13 GMT
Music
Download
Comments
Mr Lawrence :
asiekubali kushindwa sio mshindani
2026-08-25 14:07:48
36
edward fumakule :
wasira yupoooo
2026-08-25 16:08:06
0
Rubeni 2000 :
joooo upambanue wanachiiiiiii tunateseka
2026-08-25 14:26:41
0
Side boy :
ni sifa moja wapo ya kiongozi bora ni kujiudhulu
2026-08-25 13:11:25
44
Bwana mdogo :
Daah.. Kumbe Mshua Mdogo Tu! Mi Mzee wangu 1952
2026-08-25 14:15:44
8
Tausi Ramadhani :
why why nchimbi
2026-08-25 14:26:41
0
Alex Samwel :
kumbe mbeya
2026-08-25 13:58:27
6
kasasaart :
Haaa kumbe nchimbi ni mzee wa nyumbani🥰
2026-08-25 14:44:37
5
Dmkodabest :
naona ameamua kuokoa roho yake kama Mpango
2026-08-25 16:17:18
3
user8281618476091 :
atoke tu kama hawezi kuhimili mawimbi ya kuongoza watu hata mwaka haujaisha aanze kujihuzulu Mama MUNGU akubariki sana 🥰
2026-08-25 14:18:11
7
nuria@ :
kumbe mdogo tu
2026-08-25 13:46:10
2
KENNEDY BOY :
nipo nje ya mada . HIVI MZUMBE siinaitwa M,U hiyo IDM ni nini pls nipeni hicho kirefu Cha IDM
2026-08-25 14:48:30
1
SHEBBY D 💍💍 :
kumbe ni home boy
2026-08-25 14:28:02
2
Elizabeth :
makubwa
2026-08-25 13:43:12
2
Furaha halisi :
hivi wakijiudhuru hivi mama anajisiakje jmn nimeuliza tu kwa upendo
2026-08-25 13:56:52
1
Paskalina Odo :
mungu amlinde baba yetu
2026-08-25 17:17:27
0
Prince Joseph :
Huo ndo mwisho mwema🥰🔥
2026-08-25 13:17:31
2
KATOTO :
apo nimekuelewa nakupongeza
2026-08-25 17:00:36
0
Salim :
MUNGU AZIDI KUMHIFADHI RAIS WETU SAMIA SULUHU 💙
2026-08-25 13:31:43
32
Mwinjilisti Geoffrey RukatilA :
Mungu Amtunze ♥️🙏🙏
2026-08-25 16:43:03
0
ms fearless :
kumbe mtu kujihudhuluuu kunatufanyaaa watanzania kujua mengi
2026-08-25 17:03:18
0
amaleckmgimba305 :
Hii taarifa imeniuma kama nimefiwa na bahamedi wangu watabata
2026-08-25 14:48:53
3
kiongozi bora hufanya maaamuzi sahihi ✊
2026-08-25 16:49:34
0
MESSENGER 1 :
tunajua
2026-08-25 16:55:48
0
bm mwenda :
Mzee wetu kucn
2026-08-25 17:05:53
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.