@drtumaina: #kwanza kabisa kunayule mfanya biashara na anajitafuta sana lkn haon mafanikio katika biashara yake Mbaka anahisi analogwa au kuchezewa Nikweli katika biashara michezo ipo na nimingi mnoo Sio kila anae kuona unabiashara anafurahia biashara yako au anapenda wewe kua hapo hanan Jifunze kupambana wewe kama wewe hata wafanya biashara wenzio usizan wanaipenda biashara yako hapana amka upambane vitu vingine sio vyakuouuzia. #mchele na karafuu nidawa nzur sana kuitumia kwenye bihashara yako. Chukua Mchele na karafuu changanya pamoja kisha kaweke kwenye biashara yako eidha dilishani au mlangoni hakikisha hiyo sehem inapitisha hewa na uongee pale unavyoweka karafuu na Mchele kama Mchele unavyo pendwa na watu weng duniani ndivyo biashara yang ipendwe hivyohivyo na karafuu inazuia watu wabaya wasifanikiwe kuvuta pesa yako na kufanya biashara ionekane zaidi fanya hivyo tyu kwa msaada.