@kilimanjaroguide: 🏔️ Mount Kilimanjaro’s Harsh Weather Conditions Kilimanjaro isn’t just about reaching the summit it’s about being prepared for rapidly changing and challenging mountain conditions. 🌧️❄️💨 From heavy rain and strong winds to freezing temperatures and snow near the summit, the mountain can test you in every way. That’s why the right gear, preparation, pacing, and an experienced mountain crew are essential. But the reward? Standing on the Roof of Africa and knowing you made it. 🏆🇹🇿 #MountKilimanjaro #Kilimanjaro #KilimanjaroClimbing #HikingAfrica #RoofOfAfrica

Kilimanjaro Guide
Kilimanjaro Guide
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 13:38:07 GMT
176198
13053
160
425

Music

Download

Comments

__.neka.rsa
__.🦋💕 :
Kwani watu mnaenda huku kutafta nn lakini
2026-09-01 20:43:45
207
stellasoi1
Soi’s :
Yesu wangu na kifua changu nitazimia najiona mweeeeh
2026-08-29 18:55:00
103
user1019776665210
ᴇᴜ ᴄᴇ :
yaani huku kila ki2 ni haraka haraka ili upate kajoto
2026-09-02 08:02:15
22
ummru7
African girl :
Mungu awepe nguvu wanaume wote dunian huwa nawaone hurema San ndugu wakiume
2026-09-01 14:36:59
20
miss.rey49
🎀mercy mood 👣 :
🤦mpare mimi nko radhi nkae mwaka dar sio kwenda kukaa wiki Kilimanjaro 😭😭
2026-08-31 07:23:19
11
audifasmassera
doublecabins_andtrucksonly :
Hapa ni kileleni au?
2026-08-31 19:57:11
19
sholaglady
sholaglady :
Mpaka nguo ina barafu? huko hunipeleki wee! 😂😂😂😂😂🙌
2026-08-31 19:52:09
8
dee.k221
Deebeaur :
Looh mambo kama hayo yanaitaji moyo maana ilo baridi lake🙌
2026-09-02 02:36:12
8
aisha.irakoze1
Aisha Irakoze :
Mm Nika kaa hapo dakika 2 nyingi nisha kufa
2026-08-30 14:22:50
3
tz_jr.42
Tz_jr. :
hio search bar mmeiona jaman😂😂
2026-08-31 22:17:29
3
lizzysanga
Lizzy Sanga :
Sasa hii ni tourism au mateso 😁😁
2026-08-30 18:06:12
5
luzdelavictoria
Desire :
tatizo maneno ya kihuni mpaka tinashindwa ku repost watu Waone hiyo fahari yetu
2026-08-26 06:40:18
13
jempaya5
J. EMPAYA :
sasa mbona mm nikienda naweza ludia njian
2026-09-06 14:12:16
3
tumaini.musa2
Tumaini Musa :
huko ukijalibu kujisaidia unaganda
2026-09-05 18:02:37
1
navigator.chindul
Navigator Chinduli :
huko kweli siwezi mjomba
2026-09-02 21:03:40
2
misszumo
mrs ochu :
mbona we umefija
2026-09-05 04:49:28
1
nancyagustino
Winfrida 🌹🌹 :
hatabure siji tena
2026-08-30 18:44:26
3
moneyquite
moneyquite :
mh
2026-09-05 13:03:38
1
franco_traveller25
Franco, Mr.traveler25 :
maisha kusaka pesa.. respect to all mountain guide and porters 👏👏
2026-08-29 19:57:40
4
njeri1187
🇰🇪𝖐𝖆𝖇𝖇𝖞𝖘𝖍𝖊𝖊🇱🇧🇴🇲 :
the real cool kids nani anapinga 🤣🤣🤣
2026-09-02 04:37:14
2
abdiii_xman
Abdiii_xman :
kiingereza kinabakwa tz🤣🤣🤣
2026-08-26 06:59:15
4
shizo.samuel
Shizo Samuel :
usiapie mungu pande hizo nimepanda. 😂😂😂😂😂
2026-08-31 00:37:04
1
user3923499410908
denny douglas :
𝚠𝚊𝚊𝚖𝚋𝚒𝚎 𝚜𝚒𝚘 𝚞𝚕𝚊𝚢𝚊 𝚑𝚞𝚔𝚘 𝚗𝚒 𝚔𝚒𝚕𝚒𝚖𝚊𝚗𝚓𝚊𝚛𝚘
2026-09-02 15:54:22
1
victormwangaya
victormwangaya :
huko hakuna hewa kabisa
2026-08-25 18:27:37
3
apondirachumbi
apondirachumbi :
Jesus mount kenya
2026-08-27 07:32:50
2
To see more videos from user @kilimanjaroguide, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About