@abdurahmanijuman: YANGA INAWACHANGANYA WENGI MSIMU HUU…. NA NDIO KWANZA MICHEZO MITATU IMECHEZWAA….. KAZI IPO WALLAH 😂🤣🙌🏾 #Nasoma comments ✍🏽 #Nifollow @abdurahmanij4 #fyp #foryou #fypシ

Abdurahmani Jumanne
Abdurahmani Jumanne
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 13:45:26 GMT
56795
3063
66
72

Music

Download

Comments

jrmuller20
Junior Kazimoto :
🔥✌the greatest speech !
2026-08-25 22:54:20
0
maimuna.kihiyo
Maimuna Kihiyo :
mchungaji now u talk
2026-08-25 15:12:42
1
user2465481750681
Nahya :
yaani hakuna siku mchungaji akaongea kimpira leo kaongea ukweli na mpira anaujua
2026-08-25 15:05:14
19
saidmusa396
Said Musa :
Pointi mchungaji tukiacha ushabiki pembeni
2026-08-25 14:50:49
17
wa.mrema
🤍Vicent Mrema🤍✝️ :
Ngojeni niwaambie kitu watani zangu mashabiki wa simba... Kama mkitaka kujifananisha na yanga mnaweza mkajiona kwamba hamna timu bora. Ila ukweli ni kwamba timu ya simba iko vizuri sana tena kila idara na ndio Tim pekee itakayoipa presha yanga isitulie.. Pia timu yangu ya yanga sio kwamba Inacheza soka la Africa hapana ni soka la kuwaonea tu ligi ya ndani ila niwaambie tu yanga hatoboi kimataifa hata robo inawezekana asifike.. Timu yetu imeumbwa kutawala soka la ndani hata iweje kimataifa ni level nyingine
2026-08-25 15:17:24
3
tonny.tonny4019
Tonny 🇰🇪 :
saiv gumzo sio fei tena
2026-08-25 16:01:25
3
mohaedimizungu
Mohammedi mizungu :
mchungajin 🙏🙏 unaongea mpira ila siyo mandala yy kilasiki mpiga kelele ww umeongea fact
2026-08-25 14:44:40
4
bmkapasaborelaizer
mkapa sabore :
2026-08-25 16:24:04
1
ayoub.king.msumbw
Ayoub King Msumbwa :
Kuna mda unajua mpira mchungaj leo kwa mal a ya kwanza nakupa big up 👊👊👊
2026-08-25 16:42:47
2
bundalarajabu
Rajabu Bundala :
kweli ndugu
2026-08-25 14:08:25
2
jozeedj
Johzee Thedon Mjeshi :
haleluyaaa
2026-08-25 17:49:30
2
chirume300
Chirume :
MCHUNGAJI NITUMIE NAMBA YAKO
2026-08-25 15:16:39
2
raheemstax_quan
GHOST 😈 :
Mwakani Tena Yanga Bingwa 💚💛
2026-08-25 15:45:02
1
sabi.joshua3
Sabi Joshua :
kweli kabisa minishabiki wasimba
2026-08-25 15:37:30
1
user3967513231186
@Neema :
mbona watu wanageuka machawa
2026-08-25 19:46:27
0
michaelakilimali5
Michael Akilimali :
kweli mzeee🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 15:01:15
1
tonny.tonny4019
Tonny 🇰🇪 :
fact
2026-08-25 16:00:15
1
user3237965129429
user3237965129429 :
ukweli usemwe 😂😂😂
2026-08-25 15:55:30
1
user8572312094806
Alfred matuas :
katika siku umekuwa mkweli kuliko cku yoyote chini ya jua
2026-08-25 15:20:27
1
darmmy.11
darmmy 11 :
Dada angu mungu abariki kaz za mikono yako malaika wa ukoo
2026-08-25 15:02:58
3
edward.pamba
edward pamba :
big up
2026-08-25 14:38:33
2
shai49082
shai :
sema kweli
2026-08-25 14:58:24
1
user79323469501138124
james michael :
jamani nitumieni no ya mchungaji wa,simba
2026-08-25 15:15:06
1
big22868
Aubri2023 :
Bado hamjasema yanga bingwa😂😂😂😂
2026-08-25 15:16:59
1
To see more videos from user @abdurahmanijuman, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About