@www.tiktok.comlarvlarvin: #shalom #shalomjesus #prophetess #doreen

🙏PROPHETESS DOREEN🙏
🙏PROPHETESS DOREEN🙏
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 25 August 2026 13:55:37 GMT
55056
1856
191
378

Music

Download

Comments

user613985982370
Mama girls#002 :
kwangu kulikua na mende nilispray nika choma na maji moto bado haikuisha na hiyo simo nilikua na umaskini ya hali ya juu njaa kwangu ilikua ni mazoea usiku na mchana
2026-08-26 18:07:45
3
mercykiarie842
Mercy Kiarie :
mm kwangu kulikuwa na panya zilikula panti zangu katikati zote...
2026-08-27 20:15:14
3
user15529403499007
Re- karie :
mtumishi naomba uniombe nipate watoto 😭
2026-08-27 10:21:25
2
user5167413607617
Queen Margy :
Amen barikiwa mtumishi
2026-08-26 03:53:34
3
jojo.designs4
JoJo designs :
tandu ni nini mum
2026-08-26 04:11:03
1
vicqgeorge
Vicq mlash :
ntafanya hivo ju zomenichoshaaaa ziko mingi sana sana sana saa sita ya usiku zinajaa kila mahali
2026-08-27 05:49:53
2
sarahkemunto682
sarah kemmy :
pia na hizo lizard za white nitafanyaje
2026-08-27 06:46:59
3
oliva28286
Pau pau :
Kitunguu gani au kitunguu swaum
2026-08-27 15:35:17
0
iddy.ramadhan645
BÏÏ~ÄMÏÑÂ💥💖 :
Amina shkurani dadangu mungu akubariki mimi.vina misumbuwa sana dawa hazfanyi
2026-08-27 18:48:44
2
user1736986837301
user1736986837301 :
naomba namba yako nabii wa Mungu maana Hao Mende nimetumia dawa hata nimechoka
2026-08-27 11:26:20
3
doreen4829
doreen :
mimi mende zimeisha sasa nipanya nisaidie mtumishi
2026-08-28 20:32:17
0
esther.mubibya
Esther mubibya :
Bwana Yesu asifiwe maman nataka ukuliza na nzi naweza kufanya aje ??
2026-09-08 13:45:49
1
elzzy001
devoter00l :
Nimekutana hii hizo
2026-08-27 06:27:31
1
rosekalee281
rosekalee281 :
Niko na mende weeengi kila mahali kwa nyumba yangu
2026-08-26 13:53:46
0
user4628415391636
🌹joy wa mummie🌹 :
pia mm mende kwangu azifi
2026-08-29 02:12:30
1
alico.alyce
Alice :
Amen
2026-08-27 11:38:44
0
magodoro.bei.rahis
Alpenza Home And More..... :
vipi kuhusu bui bui,dawa yake nini? yani dukani kwangu bui bui wanashangaza,kila siku inabidi kufuta,ukiacha siku moja au mbili zinakuwa zimetanda kila sehemu. Hata nguo tunazotoa nje unaweka asubuhi mchana tayari uzi wa bui bui. Ndani kwenye ma shelves,kona zote,kona za makabati kila saa,kila siku. Dawa yake nini? je nayo ni maroho machafu?
2026-08-29 15:09:38
2
nancynasimiyu4
Nancy Nasimiyu🇰🇪🇴🇲 :
ameeeeeeeeeeen
2026-08-27 06:12:55
1
winnie.mukui0
Winnie Mukui :
na inzi kuna moja inansumbua
2026-08-26 17:39:18
3
janewambui5929
bobo😍 :
Amen nabii unapatikana wapi?
2026-08-26 14:00:53
0
veronicakamene900
0788731237 :
barikiwa sana mtumishi wa Mungu
2026-08-26 18:17:46
1
linzkathune
kathune :
mm nilipokuwa naishi nyumba ya kukodi kulikuwa na mende wa ajabu,bt nilipo hamia kwangu nilipo jenga nimekaa 15 years bila mende na panya.
2026-08-26 19:59:47
1
gladysmelea
Glady💓💓 :
jambo Mimi panya nimingi Sasa kwaku inakula vitu kwa nyumba
2026-09-17 07:28:13
0
dolly35939
dolly :
Amen nashukuru sana kwa ujumbe
2026-09-18 13:02:46
0
its_christine_254
tinah :
Amen
2026-08-26 02:56:07
0
To see more videos from user @www.tiktok.comlarvlarvin, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About