@mr.swai2: Hakuna makuhani wanawake

Mr Swai
Mr Swai
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 13:57:21 GMT
7299
645
35
56

Music

Download

Comments

seselasalome
God's daughter :
Hakika, AMEN🙏
2026-08-26 09:44:43
1
man_shy
Mandwa :
kambi la wapi hili?
2026-08-26 09:11:59
1
egm1995
EGM1995 :
na ukweli ndo huo
2026-08-25 20:23:05
5
user2273450231227
Catherine hongoa :
ni kweli Mungu atusaidie wanawake tutambue wajibu jamn katika ndoa
2026-08-25 18:22:03
4
mussacharles985
Manamba genge kasobi :
umenena vyema.
2026-08-26 10:25:12
0
user9762167052358
deborah :
Amen 🙌🏽🙌🏽
2026-08-26 03:31:06
0
aminamwimo
pram :
mchungaji behene hapo umechemka kabisa sasa hivi kuhani wetu ni YESU hatuna kuhani duniani na hao wanaume wachungaji wasio na ndoa ni wanawake?
2026-08-26 09:08:49
2
elishabaraka01
Donald Junior :
Ukweli ndio huo enzi hizo hata mimbarani walikua hawakai na haya yalikua yananafundishwa sana wameindoa Dorcas Sasa wanasema idara ya wanawake???
2026-08-26 06:46:44
1
nsisya.gumfuu
NSISYA GUMFUU🥾 :
anakuweje mkurungezi wati ndoa imegoma
2026-08-26 05:42:18
1
elishabaraka01
Donald Junior :
Sasa unachokihubiri ni kweli ila ni nani alieruhusu?
2026-08-26 04:28:07
1
mussa.wegoro
MUSSA WEGORO :
Hahaa umemwaga kuku kwenye mchele wengi 😂😂🙌🏿 ILA sio mbaya injili imefika 🙏🏿
2026-08-25 16:52:18
2
alvinmotors
ALVIN MOTOR's :
hahaha hawa wachungaji wanatuchanganya yaan...Mungu awatie hekima Kwa kweli
2026-08-25 22:49:24
2
tilson.silwimba
Tilson silwimba :
amina
2026-08-25 20:20:02
1
aminamwimo
pram :
kwahiyo wanawake hawatakiwi kujua Testmon
2026-08-26 09:14:29
1
aminamwimo
pram :
mchungaji bihene uchungaji hauna uhusiano nandoa na wanaume wanaoona ni wanawake?
2026-08-26 09:11:04
0
donard...jd
donard....jd$$ :
🥰🥰🥰
2026-08-26 07:33:08
1
To see more videos from user @mr.swai2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About