mm niliomba miatano ninunue juice ikasema nimeanza kutafuta sababu tuachane😂😂😂😂😂
2026-08-25 14:40:26
65
Ketty🦚 :
Mungu kama mm ni paulo niunganishe na sila wangu tuimbe milango ya gereza ifunguke
2026-08-25 15:00:06
121
arafa omy :
yapata mwaka sasa tokea niombe 2000
2026-08-25 14:59:37
33
Sasha🥰 :
Kama Mimi ni alizeti mungu nirudishe singida🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 14:32:29
82
zee ♊️ :
acount1
acount2
acount3 what a lovely🥰
2026-08-25 14:54:24
35
Gifted scents :
account 1 account 2 account 3 😂😂
2026-08-25 15:38:04
0
Mallya :
nikiomba elfu tano leo napewa mwezi ujao🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 14:32:09
126
Tecra Mwinuka :
naomba elf 5000 yann
2026-08-25 15:53:05
0
winniealvin936 :
au mimi sio binadamu nini hiki jaman😭😭😭
2026-08-25 14:03:47
59
user4265312935694 :
nyie mmesikia sim bank 1, 2 , 3 , and 4😅😅😅😅😅
2026-08-25 14:34:32
0
♍️ :
Me Wangu Hata Umuombe Billion Atasema Sawa Usijali Mama Ila Hatumi😂
2026-08-25 14:36:56
35
user1071627102099 :
hongera yako
2026-08-25 14:55:10
0
Rommy346r :
siku nliyoomba elf5 ndy siku ambayo tuliachana😂😅
2026-08-25 15:10:40
6
chioma :
Me I have 🌝
2026-08-25 15:57:43
0
femscollection_handbags1 :
Hii challenge msinipe nitaaibika
2026-08-25 15:43:16
5
🦋licious 🦋 :
ahahaha Ila nyie mnawatoa wap me wang nkimwomba laki 5 tu anasema hajawah kuiona tangu azaliwe😁😂 mara ananiamba nkipata swali kuku na yai nan katangulia dunian nd ananpa😂😂😂 kila nkjb anasema nmekosa
2026-08-25 15:13:51
9
Mily💕🦋 :
Lulu anapendwa mno na Majizo mpka raha
2026-08-25 14:59:30
9
Royal beads and fashion🧶🪡🧵 :
Mungu kama mimi ni farasi nirudishe dar zoo🥺🥺
2026-08-25 15:40:49
6
mumy roh❤ :
milion sita ninyingi sio kwamba awezi kunipa ila maelezo yawe malefu😂😂😂😂
2026-08-25 14:31:33
17
nancyasia_moris :
Ningeulizwa ya nini yote hiyo 😂😂😂pili ningeambiwa nimechanganyikiwa 😂😂😂
2026-08-25 14:46:44
23
🦋Fransiska🦋 :
nimemkopa elf 20 yangu hataki kunipaaa🥺🥺🥺
2026-08-25 14:56:16
6
Monica🇹🇿❤️ :
Nimegundua mm siyo binadamu ni kobe nimeumbwa kuja kushangaa dunia 😂😂😂😂😂😂
2026-08-25 14:53:41
8
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.