katika dhambi siwez kufanya nkuangalia mov za kihidi😃
2026-08-25 18:03:10
124
mtu na nusu12✅ :
Natafuta mdada mwenye mimba twende clinic ili nipate net, mbu wataniua jamani 🥲
2026-08-25 14:50:01
295
VeLvEt Ron🌸💫❣️ :
Ww muongo bhn sunny alimpenda nwanamke siku ya kwanz baad tu ya kumuona baba wa binti akatak amuoe kabla hajafa sio walikuwa hawapendani mwanaum ndy alimpenda mwanamke😌🥺
2026-08-25 14:39:03
21
ZAMY!♡ :
kwahyomumewngu akinyoa bila kuniambia alaf akarud nyumban sitawez kumgindua ahahahhahah ila wahind
2026-08-25 14:57:16
51
wandema :
plz next
2026-08-26 05:36:13
0
Black pearl :
plz muendelezo ka Rahul
2026-08-26 04:21:39
0
sweetie ruu :
am in love with ur voice gentleman
2026-08-26 02:56:48
0
LIL DURK OTF :
bro bro bro naomba muendelezo pls
2026-08-25 14:44:08
0
tonny @ :
me ndo first comment Kaka 😀😀😀 Fanya nyingine Kwa ajili ya mashabiki zako
2026-08-25 14:09:25
8
Issa Sonny :
no bro
picha linaanza mwamba alialikwa kwenye shuhuli ya ndoa ya binti wa mwalimu wake...lakini bahati ikatokea mwanaume alietakiwa kuoa kapata ajali nakufa wakiwa wanakuja kuchukua jiko lake hvyo baba wa wamwanamke anapata mshtuko nakupelekwá hospital ndipo mwamba akiwa hospital pamoja na binti na mzee aliomba sharuk khan amuoe binti yake ataki kufa kabla ajaona binti ajaolewa ndipo wakakubaliana na mzee anakata moto hapo hapo baada ya maziko ndóa inapita...mwamba anapata ambaye hakuwai kuwa na mahusiano yoyote....
2026-08-25 18:16:36
5
Prince lyimo :
wait ✋️what 🤔 😳
2026-08-26 01:33:48
0
Rahma🖤💔 :
Nani ameangali muvi nzima kama mm ilirushwa Azam two weekends
2026-08-25 17:58:24
7
RAISI WA GAZA :
kaka Tumeamiaa Indiaaa we noumaa sanaaaa
2026-08-25 14:29:51
53
thatgirlvinnah🇮🇳🦋 :
na huyu alikua anaenda kwa mashindano ya kucheza na Sasa ila siku mwisho ya dance akamsubiri mchepuko lakini akujitokeza ila mume alikuja pale na akamwambia kuwa Mimi nitacheza badala ya partner wako Sasa msichana alishanga how mtu kama wewe ucheze loh Sasa kwa ku dance aligundua kuwa ni mume wake aliyekuwa naye siku zote Amina 😳
2026-08-25 18:34:04
7
imanisebastian1 :
kaka Rahul itafute forgotten ya kikorea uilete hapa
2026-08-25 19:23:28
0
roni cute ❤ :
umetisha😊
2026-08-25 20:25:14
0
GOD’S PLAN :
iyo movie kali sana tena sana
2026-08-25 19:11:51
0
RUMMY GANA💎 :
hii Muvi SRK alizngua bn, sasa apo kilichobadilika n hvyo vindevu, sasa MTU unamsahau kisa katoa vindevu, alizngua
2026-08-25 18:42:00
0
MUBAH :
Umeniuzi kile kipande cha mashaka mbona umekiacha jamaa anapewa shindano la kula kacholi na uyo demu alafu alivyo ludi home akapewa tena chakula kibao demu aliaza kupata mashaka
2026-08-26 09:01:07
0
Steve Kasawalah🥼 :
Bonge la movie mzee🙌
2026-08-25 18:24:33
0
To see more videos from user @amrahul_, please go to the Tikwm
homepage.