@jvckieseven: Kwa miaka mingi sana A-TOWN ARUSHA ilikua inasifika kwa aina ya muziki wa ngumu nyeusi HIP HOP yaan hakunaga mambo za kuimba wala kudance dance ni kubum kubam vitu kama ivyo, sana sana walioenda tofauti ni wasanii watatu tu kwa enzi zile ambao ni rama dee, nakaaya sumari, na damian soul ambao hawa wote waliimba rnb. Hakukuwahi kutokea nyimbo za kuchezeka na mavibe mingi mingi mpaka pale walipoibuka WATOTO WA BIBI jambo squad na dude hili lililokuja kubadili taswira ya chuga na kuoneasha kuwa kumbe wanaweza kuja na kitu kipya kikaleta impact kwenye game ya Arusha na Tanzania kwa ujumla, dude hili likawa ni tishio kwa watoto wa dar 🤣, hawajakaa sawa disco malapa hili hapa, mara tukunyema na hapo ndo wakafunguka na wengine na mpaka sasa tunaona na wakina G NAKO wanaimba yaan fureshi tu, japo zamani walikua ni ngumu nyeusi. A TOWN ARUSHA Geneva of Africa, chugastan 👊🔥🔥🔥🔥🔥

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 14:19:27 GMT
3863
151
5
1

Music

Download

Comments

sharifusalum900
mkojani :
kitambo sn
2026-08-25 18:52:00
0
marota374
Eddy :
wamepotea wapi hawa jamaa Kuna Ile inaitwa digidigi
2026-09-02 06:56:52
0
sharifusalum900
mkojani :
sangaria zote wazi
2026-08-25 18:52:27
1
mazageenzage
(𝙋𝙧𝙞𝙙𝙚 𝙤𝙛 𝙞𝙠𝙞𝙯𝙪) :
𝙞𝙡𝙚 𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙢𝙗𝙖𝙪𝙢𝙗𝙖𝙪 𝙠𝙖𝙣𝙚𝙣𝙚𝙥𝙖 𝙠𝙖𝙬𝙖 𝙩𝙪𝙠𝙪𝙣𝙮𝙚𝙖𝙢𝙖
2026-08-29 18:27:18
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About