@pika.na.mimi: 🍽️ BANZI T TAMU 😋✨ Mahitaji: 🥣 Ngano vikombe 3 💧 Maji kikombe 1 🥚 Mayai 2 🍚 Sukari vijiko 3 🧂 Chumvi kiasi 🥄 Baking powder kijiko 1 🥄 Hamira kijiko 1 Rahisi, laini na tamu kabisa 😋❤️ Pika na Mimi 👩🏽🍳✨. #PikaNaMimi #BanziT #Mapishi #MapishiYaKiswahili #MapishiRahisi
pika na mimi
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 14:31:07 GMT
Music
Download
Comments
lady elegance 🎁👑 :
tusopend maziw jeee🥺
2026-08-25 16:01:18
1
#officialpepe🌹🍎💗🌹 :
hauwezi kupikia kwenye gas😳 au mkaa
2026-08-25 15:56:19
2
agxjm :
kwani haiwezekani kuoka Kama unavyooka keki kwenye gasi au mkaa kipenzi?
2026-08-25 17:09:23
0
Naseem.salim :
2026-08-25 15:03:45
0
veemoney❤️❤️ :
🥰🥰🥰🥰🥰 wow
2026-08-25 17:38:00
0
jamilah🔐💟 :
nyam nyam nyam😋
2026-08-25 16:40:22
0
Firda Beauté💄 :
Hamira c quoi ??
2026-08-25 16:13:05
0
user3776943792586 :
matamu kweli kweli kipenz ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-25 15:25:39
1
Irish :
Hiyo inayozunguka ndo inakanda au???
2026-08-25 17:27:06
0
Nillah :
chapat zang zinatoka ngumu sana shida nn jmn
2026-08-25 18:04:03
0
🌹🍫〰️PRETTY🎶 :
Iyo juu umeweka nini
2026-08-25 17:15:00
2
Shakira Kitenge :
vizuri sana
2026-08-25 15:59:26
0
Miss 💕Mariah🌺🕊️🌹☘️ :
Hiyo unayopaka juu ni nn 😳
2026-08-25 16:39:30
0
nasrashop1 :
MashaAllah
2026-08-25 15:26:40
0
cool girl 😎 :
mm apa nifunzi
2026-08-25 15:19:31
0
Swtleyla💦 :
Mafuta hajatumia naombeni mnielekeze 🥺
2026-08-25 16:47:50
0
Meenah 🦋💙 :
Ni lazima Ueke Maziwa Ya Unga
2026-08-25 15:19:50
0
agxjm :
iyo uliyopaka juu ni nn
2026-08-25 17:21:50
0
FAY❤️ :
Moto wangapi na kwa dakika ngapi dear
2026-08-25 16:26:41
1
amina juma :
🥰🥰🥰
2026-08-25 16:29:13
0
Maryam Omar :
🥰🥰🥰
2026-08-25 15:20:56
0
polite Queen🥰 :
🥰🥰🥰
2026-08-25 14:49:49
0
aim_comfort💞🌸 :
🥰🥰🥰
2026-08-25 19:11:43
0
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm
homepage.