@islamicswahilinet: "MAULID KWA LUGHA NYEPESI NI HAPPY BIRTHDAY" "Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele." Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia: 📱 M-PESA: 0769 756 490 📱 YAS | MIX: 0715 868 990 📱 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet
Kwan kweye ayo maulid kuna jambo gani baya linalofanyika
2026-08-25 16:14:08
12
AYATOLLAH KHAMENEI :
SISI NA KUMSWALIA MTUME MPAKA SIKU NYINGINE MAULIDI YATASIMAMA MPAKA QIYAMA
2026-08-25 15:08:26
31
jumaomari93 :
asanten mashekh Kwa kutufumbua macho dhidi ya bidaa zote
2026-08-25 16:43:07
8
zam zam :
lakin mmeona maulidi yalivo fana aisee sisi na mtume mpaka qiama
2026-08-25 16:00:32
14
Mkali :
kwani kwenye iyo badhday kinachofanyika ni kibaya?
2026-08-25 15:25:44
10
choloboybriz :
mi sijaona ubaya cz anasifiwa kipenzi chetu🥰
2026-08-25 17:12:21
4
Mesut :
Shekhe umemaliza jukumu lako kutuelimisha Allah akuhifadhi ili tuendelee kufufaika
2026-08-25 17:12:24
7
ZAINAB YASINI :
nikweli shehe umesema kweli
2026-08-25 16:34:26
5
Salum Sasya :
Na ni BID'AH maalim
2026-08-25 15:42:28
4
Amiry_dalalimoshi :
𝗦𝗶𝘀𝗶 𝘄𝗮𝘂𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗮𝗸𝗶 𝗺𝗮𝘀𝗵𝗲𝗶𝗸𝗵 𝗺𝗻𝗮𝘁𝘂𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝗻𝘆𝗮😳
2026-08-25 16:33:30
2
iamasud :
saaafiiiii
2026-08-25 15:05:03
2
saidi ntaja :
hakika sheikh upo sahihi
2026-08-25 16:27:13
2
Naser75 :
siku hizi Wana kata cake na nyimbo za happy birthday yaa rasulullah
2026-08-25 15:31:03
2
Akili kubwa :
tufanye tusiite maulidi labda hili neno maulid lina tabu quite kongamano labda . maana wananuna sana
2026-08-25 15:24:51
1
👸💎Warda🇹🇿❤🇴🇲 ghazal🦌 :
sasa kinawauma nini kama nyie hamtaki maulid basi msiwakere wanao fanya dini hakuna Aliye mkamilifu kila mtu Afate dini Atakavyo fata yeye ila Mungu ni mmoja tu
2026-08-25 15:44:58
1
sheryn88 :
apa ni mwendo wa maulid mpaka kiamaaaaaa ukihisi huwezi kaa kwenu
2026-08-25 17:34:01
0
Mohzul 💕 :
MashAllah
2026-08-25 15:21:42
0
ZAINAB YASINI :
na wengi wao ata swala hawana
2026-08-25 16:37:12
5
pp.celwo :
Asante sana mwalim kwakusema ukwelu
2026-08-25 18:37:22
0
ramadhani. iddi :
rara
2026-08-25 17:41:38
0
Fatma Marundo :
Hawa ni wale masheghe wanao sema maurd ni bidaaa nakataa Hy sio birthday kwasababu hukuna mziki pale Wala keki pale bar Kuna fulaha za kufulahia siku Hy alie letwa mtu Mohamed s w wasala
2026-08-25 18:01:16
0
AnafTz :
Ameen
2026-08-25 17:54:22
0
Gngalao Aire :
hiyo nayo pia ni bidaa kutengeza karenda kwakuwa mtume hakusema na hakufanya wakati wake vp ikubalike na ingali hakuna bidaa nzuri
2026-08-25 17:41:48
0
Zuwena collections :
Sisi na mtume,🔥🔥🔥 mtume na sisi
2026-08-25 17:45:59
0
🦋 ghabadu 💞🦋 shamsuu🌼 :
nashidwa kuelewaaa
2026-08-25 15:28:30
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.