@death_or_state: TANZIA: Ofisi ya Makamu wa Rais imetangaza Kifo Cha mtumishi wake, Bi. Kulwa L. Ngusa, aliyekuwa akihudumu katika nafasi ya Upishi katika Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kulwa alifariki dunia Agosti 21, 2026, majira ya saa 12:00 jioni katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa hiyo imeeleza kuwa taratibu za mazishi zinaendelea kuratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na familia ya marehemu. Uongozi na wafanyakazi wa ofisi hiyo wametoa pole kwa familia, ndugu, na jamaa walioguswa na msiba huo. #maguisratv #tanzianiatiktok🇹🇿 #nchimbi #MakamuWaRais

†✞ 𝕄ℝ ℙ𝕃𝔸ℕ𝔼 𝔹 ✞†
†✞ 𝕄ℝ ℙ𝕃𝔸ℕ𝔼 𝔹 ✞†
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 14:37:44 GMT
137954
5362
263
272

Music

Download

Comments

jackline.manyoni
💞Honey❤ :
jaman hii nch nn lakin roho inauma jaman yaan katangaza Leo tu kuachia mamulaka ndo kafiwa na mpishi wake jaman hii nch MUNGU anawaona wote wanaotenda maovu yaan roho zinatuuma sana 😭😭😭💔🫴
2026-08-25 16:39:28
39
user8192375046136
amanda g :
vita imeshaaza
2026-08-25 14:45:19
54
user9543461498765
KING ALEX BYAMUNGU :
jamani jamani jamani hakuna mi tanzania nahama naenda zangu bukoba
2026-08-26 09:12:31
20
isayakatuma
Mwinuka jr :
Dah .time will tell
2026-08-25 16:29:18
4
k.i.b.u.g.a
edyvin :
Pole baba
2026-08-25 17:53:24
1
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Watanzania Pambaneni mpate KATIBA mpya
2026-08-25 19:35:13
14
oresto.mpochele8
Oresto Mpochele :
pole san
2026-08-25 15:50:49
1
ngumungu
Rachel designer ♥️ :
pole kwa hilo,naomba nirithi kiti cha upishi cha huyo mama
2026-08-25 18:43:45
8
john.product2
John product :
rest in peace
2026-08-25 17:40:55
1
enjoyadrian12
Enjo A :
poleni
2026-08-25 16:18:20
1
hussein.siasa1
KWEBA☠☠☠26🦅🦅🦅 :
pole sna.mama.angu mungu akupunguzie dhambi zako🙏🏻🫡
2026-08-25 15:12:18
28
amatz770
Intropact 🤫🤔🫡 :
Tanzania tumeisha 😭😭😭😭😭 mpaka tujue kinacho endelea so leo
2026-08-25 18:45:58
8
mwema.eliudi
Mwema Eliudi :
pumzika kwa amani
2026-08-25 16:55:18
7
scholamarco
baby j♥️♥️ :
Daah hii dunia jmn
2026-08-25 16:53:49
5
chodo10649
Chodo :
Kwa hekima na maamuzi magumu Samia angeachia ngazi maana amepoteza mvuto
2026-08-26 03:17:03
14
neemamsemwa2
neemamsemwa261 :
kunakitu chakutafakali, ktk hili🤔🤔🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-08-25 18:12:32
8
josephineasheri
Josephine Asheri :
MUNGU tunaomba Utunusuru na haya yanayo endelea😭😢🙏🙏
2026-08-25 16:42:58
7
mama.liya89
mama liya :
Daah Polen san wapendwa
2026-08-25 15:32:06
7
user9236288552517
user9236288552517 :
dah yameanza kuitika maana Dua za watanzania duh rest in peace mommy I love you too much
2026-08-25 15:24:07
8
fm4482
FM :
ccm ,,,ccm,,,ccm,,,ivi mnataka nn Tanzania tuwapatie?
2026-08-25 15:32:34
10
fanjo20
fan jo :
mmm
2026-08-25 18:09:13
1
www.tiktok.chogo3
🩷🩷✡✝𝐀𝐈𝐄𝐌✳✝𝐎𝐃𝐃𝐎𝐇🎀🎀 :
Bora niende njombe sio Tanzania
2026-08-26 12:12:04
3
moriny04
morinyo barber shop :
jamaniiii
2026-08-25 17:45:25
1
chilanso17
Chilanso17# :
hii ilikuwa ya Emma
2026-08-26 10:22:40
1
user70570762625704
Mwajuma BwanaAlly :
kwaio gafla
2026-08-25 18:06:45
1
To see more videos from user @death_or_state, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About