@kevychazy_: Je, ukimpigia simu mume wako akusaidie pesa atafanya kama alivyofanya mume wa Elizabeth Michael? Tuandike maoni yako kwenye comments hapo chini 👇⬇️. #tiktoktiktok #tiktokindia #fypシ゚viral #chazymedia #tiktokzanzibar
mme wangu yupo kama mme wa Lulu ila ndio hivyo Hana hela, ila Ni MTU Safi Sana Hana kipengele kabisa, Mungu nakuomba umlinde mme wangu katika upambanaji wake🙏
2026-08-25 16:56:52
351
dayani :
mi mke wangu ata kama kipindi angezichukua 😎😁😁
2026-08-25 17:17:05
48
gee roisly🦋❤️ :
kama me kijora nirudishen tandika 😂🙌
2026-08-25 15:39:31
118
d.kidoti og :
Kuna nyie alaf kuna sisi 50k tu mtihani😂😂😂🙌🙌
2026-08-25 14:49:26
118
Marium Mnzava :
mm account yangu mpk Sasa inasoma 600
2026-08-25 16:11:54
69
mama G :
wengine tukitumiwa afu kumi simu zitapigwa umeipata?kama umepotea 😂😂😂😂
2026-08-25 17:52:30
54
Zury Perfumes & Underwear :
Nilie kwa kusimama au kwa kukaa?🥺
2026-08-25 19:39:41
10
P naturals🦋❤️ :
I want to talk to God personally🥹
2026-08-25 22:08:11
0
Nice🤝🙏 :
jaman mungu anipe ndoa kama ya Eliza
2026-08-25 21:15:10
5
Leah Leah :
yani mtu anaombwa milioni 6 ata ashtuki daaah alaf kuna sisi wa 50k yani tuisoteee mwezi mzima😂😂😂😂
2026-08-25 16:22:43
39
Unknown🌚 :
Mama Gee ulisema Mungu alf kingne nini
2026-08-25 16:42:12
8
Bint mwigune❤️ :
Mm ni mamba nilud ziwan🤣🤣🤣
2026-08-25 15:14:01
50
Bahati trendz outfit🛍️ :
Mimi mwanaume wangu nikimuomba pesa kwa kukulupuka utasikia bahati…naomba uniache utanichanganya 😂😂😂dah
2026-08-25 16:05:00
52
Kate❤️ :
Me nae ningempigia cm mama yangu tu ❤️
2026-08-25 17:53:31
5
Martha 🥰🥳 :
kwanzia now Niko single me 20k naomba two weeks
2026-08-25 16:35:56
0
Ms.Evennly :
afu kunahawa wetu elfkumi anaeza kuzima cm week😂😂😂
2026-08-25 16:14:52
65
MAMA JJ :
Mtu nimemuomba elfu 50 kabadilisha namba ya simu 😁
2026-08-25 16:37:14
23
Nayester💞 :
kama me ndizi nirudishwe mabibo🥲
2026-08-25 16:27:13
21
Ma Mkwe💕💕 :
Nina Wiki ya pili sasa namuomba Elf 30 na simu hapokei🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 15:57:13
6
Official_isha :
apa me meomba 30k sijibiwi tex akat 2likua 2nachat😂😂
2026-08-25 16:27:52
6
mamy g :
Kuna watu wanaishi, mwingine vocha tu hajusemeshi mwezi mzima
2026-08-25 15:52:40
38
Memorable7 :
yaani nimetafuta coment za wanaume sijaona hata mmoja
2026-08-25 18:02:53
14
To see more videos from user @kevychazy_, please go to the Tikwm
homepage.