Msicheke mama angu ashawahi niambiaga hvi vtu 💔😪💔🙌
2026-08-25 21:32:19
101
Rahma Ally :
taila flani nimecheka kwanguvu saa sita hii
2026-08-25 21:52:13
188
Ms Angel♥️ :
Free taira flani😂😂😂😂🙌🏽
2026-08-25 21:44:43
20
𝔻𝕣𝕖𝕒𝕞𝕘𝕚𝕣𝕝🌹🦋 :
😂😂😂😂 Sasa jina la ukoo niweke TikTok la Nini 😂😂🙌
2026-08-26 04:28:24
41
🦒 wa mzee omary💫💫✨️ :
mim baba angu jaman ananifatilia fb adi ilbidi ni mblock🥺
2026-08-26 05:04:36
11
miss lee :
mmmh baba
2026-08-26 06:22:43
0
officialrajiih :
Mimi nimemblock 😁😁
2026-08-25 21:49:20
9
Silver :
Ety tahira😂
2026-08-25 22:39:32
1
firstborn pauu :
mimi kila siku nikipost video wanasave wanaenda kumuonesha mama😂😂😂
2026-08-25 21:49:59
16
MISS KALUGENDO🇨🇩 :
heeeee😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-26 04:20:53
0
cathymanson🌸 :
Bado mimi 😂
2026-08-25 21:32:35
7
Silence🙏👌 :
tupo wengi uii tutaenda kutafta nchi😂😂😂
2026-08-25 21:41:47
7
Iam reneey🧘🏻♀️ 🇹🇿 :
Kuna mmoja uyo kumuonesha mama angu challenge ya anko t nimefanya mama ananipigia mbona unafanya hivyo lakini na sura imevimba🥺😂😂 nikasema alie muonesha huyu mama TikTok alaaniwe 😏
2026-08-25 22:28:25
11
𝒩𝒶𝓈𝓇𝒶𝒽 𝓘𝓽’𝓼 🤍 :
Kaka zangu walikuwa hawatak naba akasema kama wao wamezeeka watulie wakati ushaawapit😂
2026-08-25 21:46:54
21
Sally 💕 :
😂😂😂😂😂😂😂😂nimechekaaaa siku yangu ikifika na mm naamishwa umu ndani
2026-08-25 21:34:53
6
Mumy’s phone store ☦️ :
😂😂😂asa akiona umeweka meseji zake TikTok si ndo atakuua
2026-08-26 04:46:10
6
Reeny Gee :
hyooo leo hyoooo😂😂😂😂😂
2026-08-25 19:46:55
9
Butterfly :
Me shanganzi yangu aliona 😂😂😂😂😂😂😂😂😂sikwenda kwake mienzi 7
2026-08-25 23:39:16
11
To see more videos from user @her_becky, please go to the Tikwm
homepage.