AAH huu wimbo umejitosheleza sana
huwa napo maliza mqombi namshukuru tu YESU
2026-08-26 07:22:33
4
🥶″Păpá ľęñß≈Lē🦋műf🎸💦 :
nilijua ,😣👍
2026-09-03 02:22:05
0
scarlet 04_11 :
🙌❤️❤️Asante Yesu
2026-08-30 14:55:09
0
Broka Discount Center :
Talent
2026-08-25 21:06:03
1
lsack mtoro :
ila neema 🙌🙌🙌
2026-09-01 18:34:24
0
honcravo07 :
Kwa hakika hii sauti hata wimbo usipokua mzuri utanoga tu sauti flan nzuri sana.. Barikiwa mno sister ney
2026-08-30 06:51:17
1
Ricqule. G. Andem :
Huyu miss aki noma, Yesu inuwa huyu na utuweke aki katika huduma ya mwili wa kanisa lako
2026-09-02 05:48:35
0
MARK💥STAR345 :
2 Timotheo 3:8 inasema:
“Na kama vile Yane na Yambre walivyompinga Musa, vivyo hivyo na hao huipinga kweli...”
2026-08-31 12:30:22
0
🥶″Păpá ľęñß≈Lē🦋műf🎸💦 :
🎶🎶nilijua utatenda
lakinisikujua nikwanamna hii ,angeongeza ako mmmh😄😄
2026-09-03 02:24:10
0
MARK💥STAR345 :
2 Timotheo 4:3–4
“Maana utakuja wakati watakapokataa kuyasikiliza mafundisho yenye uzima... watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi
2026-08-31 12:34:40
0
Ridy :
Anointed voice🥰🥰🥰🥰
2026-08-25 22:06:43
5
de boss :
sauti nzuriii, nabarikiwa lakini wapendwa Mungu ametupatia hii huduma sio kwa bahati mbaya ni huduma ambayo yeye anaipenda na kuifurahia lakini sisi huu udunia mbona tumeukqribisha makanisani???? hv wanawake bila suruali hamjisikii vzr???
2026-09-03 08:08:30
0
Milka mother :
Asante Yesu🙏🙏
2026-08-29 19:17:16
1
mwali wa moto :
umebarikiwa saaaana.
2026-08-27 09:33:41
2
Chimbo la boxer kariakoo🔥 :
@Neema Osborn neema ilio juu yako ni kubwa Mungu akuweke kwaa ajil yetu❤️🙏🥹
2026-08-25 18:08:40
7
Davisjekel wafula :
🙏🙏🙏
2026-08-25 15:14:10
3
Paul mwakambonja :
🥰🥰🥰
2026-08-26 06:13:39
2
To see more videos from user @kingdomcrafts3, please go to the Tikwm
homepage.