@lightcasttvkenya: "Nitazidi kusema, UHURU na babake waliiba mashamba na dhahabu yetu." ~ Hassan Omar

Lightcast TV Kenya
Lightcast TV Kenya
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 25 August 2026 15:06:54 GMT
10117
408
25
6

Music

Download

Comments

jaykip3
Jay :
Kenya started at the Wrong foot.
2026-08-25 18:12:47
1
leendiema
leendiema :
hustler Vs dynasty narrative in another fashion watu si wajinga
2026-08-25 15:50:16
2
set_username150
Martin mbugua :
you're the government and you have all the power to reverse what you feel is not right .. Mimi nitakusaida aje kaka
2026-08-25 17:08:27
0
hon.mucha
Hon Mucha :
hawa wako desperate ni story telling tuu
2026-08-25 15:26:05
1
ryanresliekim
ryanresliekim :
in politics usiwai attack anyone personally.... they never forget
2026-08-25 16:55:38
1
daktari254
MIKOCHENI SOGOMO 💝 :
Kenyatta family uwizi mtupu
2026-08-25 17:30:44
3
e049685
E :
mimi hata sijui mbona hawa watu wako kwa serikali na hawawezi shika Uhuru na familia yake warudishe hizo shamba na mali wameiba. ndio maana tunasema wantam
2026-08-25 16:03:21
2
user11366924471734
moses :
OMAR KINDLY TAKE THIS TO HISTORICAL LAND INJUSTICES
2026-08-25 15:23:15
0
jk.sailor
@jk :
Ukweli hautakiwi kusemwa, unauma, Kwa Dhulma zilizofanyiwa wapwani, wakiambiwa wangoje maembe yanguke..
2026-08-25 17:29:28
0
smokeylancer
SmokeyLancer :
Mbona babake ya huyu hakuiba?
2026-08-25 17:46:58
0
ikihern
Ata ikido :
kwani ni uongo
2026-08-25 15:52:19
0
demasimo
Nosheen.🎀 :
huku ni story tu.
2026-08-25 15:41:12
0
aaa12345677dfgh
,, :
true
2026-08-25 15:17:34
0
zuma4695
zuma :
lakini omari ww ulikuwa sentor mbona haukutable motion kwa bunge la sentor ukayaongealea haya maneno?waja yaongea vibaraza kwa faida gani?
2026-08-25 16:22:08
0
robertwambu
robertwambu :
Omar hio haiwezi msadia lakini hajui Kenya.
2026-08-25 16:37:24
0
shoto6868
Aimar :
2026-08-25 17:52:30
0
meddyhamada
meddy :
Sema Hon Sarai.Usitishwe.Finya Kabisa
2026-08-25 16:27:49
1
brianvulimu37
brianvulimu37 :
You were to rectify that.4 years down the line.You have joined the band wagon of amassing illegal wealth.
2026-08-25 16:49:32
0
domokojnrali
Dominique Ali :
wanafki!😅😅Moha simba🥰🥰
2026-08-25 18:13:16
0
kkhgclan
ZionKing :
🤣🤣🤣
2026-08-25 15:13:30
0
abuu_220
ABUU 💎 :
😂😂😂😂
2026-08-25 15:23:37
0
To see more videos from user @lightcasttvkenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About