@islamicswahilinet: HUUNDIO MUDA AMBAO MTU ANAPSWA KUWA NA FURAHA NA SIYO SIKU YA KUZALIWA/HAPPY BIRTHDAY "Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​" Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia: 📱 M-PESA: 0769 756 490 📱 YAS | MIX: 0715 868 990 📱 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 15:08:09 GMT
8643
777
32
57

Music

Download

Comments

user8543841631656
Mohzul 💕 :
Allah Akbar
2026-08-26 04:19:51
3
ramazanibinselema
ramadhan :
masha Allah sheikh wg
2026-08-26 05:14:36
1
ahmadimipunga227
ahmadimipunga227 :
kwahiyo hambal anapingana na tume maana mtume alikua muda woote kanuna au imekaaje
2026-08-25 20:16:59
2
mussamtama903
Mussa Mtama :
Ndoa si furaha auui??
2026-08-25 20:35:58
1
user5297554580024
sweet Saphia og♥️♥️ :
eeh jamani me mbona nashindwa kuelewa wallah
2026-08-25 15:56:22
0
mamuu486
mamuu 🌹🌹 :
mnatuchanganya2
2026-08-25 15:26:02
0
user38234431161821
jambojoy :
Hio furaha unaosema shekhe ya Imma Ahmad ni ya Akhera na ya duniani ni IDD mbili ya Adhha na fitri na hizi ni za jumla yaani pamoja,lakini furaha ya kibinafsi ni kuzaliwa sababu ni zawadi hukufanya maombi ya kuzaliwa Bali ni amri ya Mungu ujio wako duniani, kwahivyo kushukuru na kufurahika kwa kuumbwa hio ndio furaha ya kibinafsi ya kiduniani,ama wapinga Hilo shekhe? Allah ana Hikma ndio mtume alikuwa yatima mapema,sababu lau wazee wakee wangekuwa hai,wasingeacha kusherehekea Nuru ya mtoto wao katika uislamu.
2026-08-26 10:13:59
0
desmartmsafi
DE SMART MSAFI 🌍🇹🇿 :
🤝
2026-08-26 04:25:04
0
mussamtama903
Mussa Mtama :
Acha watu wafurahie mzazi ya Mtume Iyo swairat akifundisha nani kama si tunayemsherehekea tuacheni ufinyu wa elimu uislamu si dini ya mtu ni dini ya Allah Uharamu au Uhalali ni kutokana na Madhara mawlid yanatuunganisha
2026-08-25 20:38:29
1
1stborn_22
I'm Saeed🫥 :
ukipata elimu kwa kukariri ni tofauti na kuelewa🙌 unaweza ukabishana hata na shekhe kumbe alikariri
2026-08-26 04:44:07
1
issaismailly0
Isssa Ismailly Issac :
HAKUNA KUCHANGANYIKIWA HAPA NI ELIM TU NA KATIKA NJIA ZAO ZA WATU WA BIIDA NI KUPOTEZA WATU WASIO KUWA NA ELIM WANAWAMBIA ET KUMTAJA MTUME MUHAMMAD S.W.A NI DHAMBI NAKUSOMA QURAN NIMAKOSA . SASA ELIM INASEMA SIO MAKOSA KUSOMA QURAN NA KUMSWALIA MTUME WETU ILA KOSA IBADA HIYO IMEPATIKANA WAPI...?
2026-08-25 19:01:40
1
mustafambelwa619
Wiseman@mbelwa🕋 :
sawa basi nunaaaaaa hujalazmishwa aaah
2026-08-25 16:34:40
2
bakarsaid563
Bakar Said :
wew ndo ume sem maulid ni birthday
2026-08-25 21:49:07
1
theblackboss25
theblackboss25 :
❤️❤️❤️
2026-08-25 15:14:59
0
sheikhmuftiibrahim7
sheikhmuftiibrahim🇸🇦 :
🤣🤣🤣🤣
2026-08-25 17:26:46
1
jomba.jimu
jomba jimu :
🥰🥰🥰
2026-08-25 15:11:52
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About