@bongo.media1: Bifu Kati Ya Clamvevo Na Steve Mweusi Mwanzo Ilipangwa. Sehemu Nilipopanga Kodi Yangu Ya Mwezi Nanunua Hapo Kwake ( Steve Mweusi )!! - Clamvevo Pia Clamvevo Amesimulia Alivyonusurika Kurudiswa Tanzania Kisa Lugha Wakati Anatakiwa Kuingia Switzerland.