kuishi bila maji ndiyo mi siwezi ila wewe itanibidi
we jamaa ni balaa kweli your turning emotios into music broo🙌🙌
2026-08-26 10:45:49
3
mbegujr :
sema anasikilizia sana kuwajibu mashabiki zake hilo ndio huwa changamoto kwa wasanii wakiwa na shida za like utawasikia naombe like zenu mashabiki zangu
2026-08-28 12:33:46
2
@Kisa The One :
Hiii ni zaid ya ngoma kali kapigaa nomaaaa
2026-08-31 16:54:34
2
officialkalumuna :
100/100
2026-08-26 08:42:27
1
MJ_classic666 :
definer u deserve better place kwenye bongo flavor unajua mno ni swala la muda huwa najiskia vibaya nikipiga story ya muziki bongo nikataja jina lako mtu akasema hakufahamu huwa natamani kuingia kwenye ubongo wake nimwoneshi ninachokiona kwenye talent yako
2026-08-25 15:27:16
5
D kubwa. 💪✊. ❤️🩹💥 :
yani kaka iyo nyimbo inanigusa Sana moyoni unajuwa kaka hongera 🙏🙏
2026-08-25 16:38:53
3
Samy🇰🇪 :
Baas babaa baas achakulia sasa😂😂😂
2026-08-27 06:30:01
1
Mwagala Tz :
Fam✌️
2026-08-26 11:59:20
1
🍁BIG BABA🍁 :
💯🙌UNAJUWA SANA BOY🙌✊️
2026-08-25 15:12:34
1
my girl ❤️💯 :
nasikiliza huu wimbo siku nzima jmn na sichoki
2026-08-27 13:53:22
1
Fredy Gideon :
pambana muzee
2026-08-26 22:48:28
1
Nasma Mwarabu :
mwanagu wewe
2026-08-26 17:58:20
1
KAGUTE COMEDIA :
kaka mungu ameweka kitu kwako pambana sisi tupo nyuma yako💪🏽
2026-08-29 05:15:15
1
kelvin Amos :
amini mkali wang unaweza dadyy
2026-08-26 17:13:47
1
Simba J mzola :
nijib coment angu kijana mwenzangu plz tutoe rimix hii ngoma me nipo kigambon
nakuonea mbalii bro unajua kuandika kuimba yaani kwa ufupi una kila sababu ya kuitwa msanii
#big fan kutoka kenya 🇰🇪 we support you brother 🙌 🙏
2026-08-26 10:59:03
2
kyomajr455 :
mwanangu unajua sana ukimpa nafasi ibra hii ngoma itakua ya moto sana🔥
2026-08-26 13:14:45
1
SLIME⚠️LIFE〽️ :
2026-08-25 16:03:38
1
papicho :
much love for you definer🇿🇲
2026-08-25 22:34:56
1
AFRO_boy :
Sindanooo 🔥🔥
2026-08-26 05:43:55
1
Director jmtv :
ududuuuuuuuuuuuuuu agaaaa
2026-08-26 05:25:17
1
MZEE WAKUDOVOLA🌏 :
dar .... kaka .. unaimba adi moyo unauma . 😭
2026-08-25 20:15:28
1
Dagama :
the song is heart touching
mashairi mazuri
melody nzuri
sauti ya hisia inayobeba uhalisia
hii ndio maana ya sanaaa, sio Kila mtu anaweza kuimba. kina kiba na nasibu waliteka nyoyo za mashabiki Kwa nyimbo za hisia hapo mwanzo.
keep grinding bro 💪 see you at the top
2026-08-25 18:15:40
1
To see more videos from user @itsdefiner, please go to the Tikwm
homepage.