kuna watu mambo yanayo endelea awapendi ila ndo ivyo washa ingia kwenye mfumo
2026-08-26 04:54:53
4
Omari Mtiva :
duu
2026-08-27 09:18:25
0
Chaffupoz :
ukweli mtupu
2026-08-27 09:03:08
0
Prisca Ghnmgcc :
sitii neno broh umemaliza
2026-08-26 07:44:01
1
Mapambano dhidi ya sonona :
🥰🥰🥰tobaaa
2026-08-26 10:35:00
1
Tevez :
Semea chama chako chama chetu ACT hakuna wahuni
2026-08-27 04:20:06
0
neydaqueen😍 :
ukweli mtupu
2026-08-27 10:21:56
0
Laurah :
Mie sitaki kuamini na kuwaza kama umekufa, sitaki, sitaki, sitaki na Mungu anisaidie na apokee maombi yangu naomba akulinde na akuepushe na kila baya. Ninaimani siku moja tutakuona
2026-08-27 09:22:58
0
meckgodfrey :
tulishindwa kumuunga mkono ila duu ukweli mtupu
2026-08-27 09:57:39
0
Faidha kipacha :
sote tutakufa ila ulicho kifanya tutakukumbuka milele
2026-08-27 09:49:28
0
ayubucharles222 :
sahihi
2026-08-26 05:10:27
0
To see more videos from user @udambwimedia, please go to the Tikwm
homepage.