@salym_kikeke: Taarifa zilizojitokeza Tanzania kuhusiana na kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Balozi Dr Emmanuel John Nchimbi zinaendelea kutikisa taifa hilo la Afrika Mashariki. Mpaka sasa Mamlaka za nchi hiyo hazijasema lolote kuhusiana na taarifa hizo. Ikumbukwe kuwa Dr Nchimbi, akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi pia alijiuzulu kufuatia sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili. Hii si mara ya kwanza kwa kiongozi wa juu kujiuzulu Tanzania.
If I’m ever asked who the finest presenter in Tanzania is, without hesitation, I’ll say: Salim Kikeke a true icon of excellence, class, and professionalism🥰🥰🥰🥰
2026-08-25 18:57:07
1
momobabe😍😘 :
Nchimbi kaona mbali sio bure lets wait
2026-08-25 17:18:41
90
Angel Gabriel Tomson :
heee😂🤣🤣🤣heee too bad for Tanzania 😂😂🤣🤣heeew😂🤣🤣🤣 so what happens now 😂😂🤣
2026-08-25 17:23:31
1
Contractor :
tangu ulivyondoka BBC mm sjawahi kuangalia tena bbc maana dah nilikua nawahi kurudi home kisa BBC london😳😁😁😁
2026-08-25 17:05:27
191
Somoe Amani :
tunataka marahisi pia WAJIUZURU SIO MAKAMO YA RAHISI TUU
2026-08-25 16:54:49
41
Jimmie :
Sijamsikia Mh. Ezekiel Maige anyway 👍👍👍
2026-08-25 18:50:48
2
💡 @LearnEarnGrow. :
pole pole yu wapi ??
2026-08-25 17:20:57
1
Mrs❤️❤️💘🌹 :
🎮bora nkacheze game
2026-08-25 18:06:10
3
madam shuu :
my favourite journalist
2026-08-25 19:01:20
0
reward1511 :
Umesahu spika wa bunge Job Ndugai
2026-08-25 17:48:56
26
bvanp :
Haya sasa tuambie, Nchimbi kajiuzulu kwasababu gani, maana wengine umewataja na kutiririsha sababu zao.