@niffer_cosmetics:

Niffer_cosmetics
Niffer_cosmetics
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 15:55:14 GMT
135476
12655
728
327

Music

Download

Comments

queenjoh83
queenjoh :
Aloooo km mm yaan asking for something ni kipengere 😂😂😂
2026-08-25 17:02:01
2
sittytiba1
sittytiba61 :
Mimi uyo mnapendaga mtu ajiongeze mwenyewe
2026-08-25 17:29:52
228
kilombo_hairstyle4
kilombo_hairstyle :
yaani wewe ni mimi kabisaaaaaaa yaani kama umeniongelea mimi vileeeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-08-25 16:26:50
212
__exotic.delve
Delvina🪷 :
Kumbe tupo wengi hatujui kuomba🤭
2026-08-25 17:36:55
72
official123tedd
Teddy bear 💙🦋 :
Kila mtu Sasa kwenye comment ety huyu ni mm kabisa nyie hamuombagi nyie 🤣🤣
2026-08-26 07:47:35
17
vicky.paschal
Vicky :
anakupenda anakupa mwenyewe kama hupew mwenetu kimbia
2026-08-25 16:29:26
37
winniejeremiah351
madam smile :
hata mm kuomba siwez ila napenda ajiongeze
2026-08-26 04:05:51
26
nailafengu
Mama Nu²🫂👣 :
Mimi kabisa napenda mtu ajue majukumu yake ndomana mahusiano yananishind wallah jpo sna uwezo ila spend mtu asiye jua majukumu maan kuomba omba siwez kabisaa kabisa naa atashangaa sipoo nishamkimbia 🤣
2026-08-25 17:42:50
37
dtz9558
shabik pacom 🇹🇿 :
niwewe ty naoana 🤣
2026-08-25 19:48:01
0
itc_ronnie
itc_ronnie :
niffer scents za sweet zimeisha. dodoma tuletee da niffer
2026-08-25 17:04:03
2
mrs.vinny3
Mrs vinny@ :
t-shirt umenunua wap madam
2026-08-25 16:25:54
1
hunterchicktunie8
The hunterchick tunie. :
Sio wew huo ndo uhalisia bhana asiekupa hakupendi 📌
2026-08-25 17:40:32
20
shen_afya_ya_uzaz
Shen_Afya_ya_Uzazi :
Sio uhaya ni mazoea tu!!! Mtu aliyozoeshwa
2026-08-25 18:11:19
17
floridaferuz2
Floridaferuz❤️🫂 :
Itoshe kusema Mm ni omba omba😂🤣🤣
2026-08-26 05:54:49
6
user8350530473974
b.fanboy_30 :
sister niffer nakukubaila🤣🤣🤣
2026-08-25 16:05:29
2
nalhat_ally
@nalhatally :
obviously
2026-08-25 20:09:29
1
wambi.05
wambi 05 :
Dada Niffer nakushauri hakuna binaadamu mkamilifu naomba niwe mshauri wako sihitaji malipo
2026-08-25 17:28:04
8
resa23745
Resa :
tupo dada hata mie Niko kama wewe
2026-08-25 16:27:33
14
gianna0969
Gianna :
kweli kabisa hata mm nipo hivyo sijui kuomba kabisa
2026-08-25 16:25:33
6
user7786599524882
user7786599524882 :
wewe niffa nikweri hiyo popu ikosawa inatoa chunusi?
2026-08-25 16:51:53
6
jackie72124
Jackie😊 :
Kuomba kuomba ni dharau
2026-08-25 18:53:59
7
adofubey1
ADOFU BEY :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema🤪🤪
2026-08-25 17:29:28
7
prettyfau68
prettyfau :
natamanigi kupata mwanaume wa iv cjui ata wanawazaga nini hawakumbukagi
2026-08-25 17:39:57
6
kiddoempire1
kiddo❤️ :
Ata mimi kwakweli
2026-08-25 18:52:12
6
moniepaulshema
monie paul :
Mimi ndio sijui kbsa yani sijui nikoje nilikaa na mahusiano 2yrs sijaomba hata hela ya chakula nikiwa nae nanunua kila kitu tunakula nasimulizi sinuni.ila sikumoja alikuja na dola 3000 Zawadi 🥰 amejua tayri sijui kuomba basi sikuhizi ananipa tu 🥰🥰
2026-08-25 16:45:26
7
To see more videos from user @niffer_cosmetics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About