Masheikh mnapenda kutusakama saana wanawake mbona hata wanaume pia mko ivo ivo?? Hata wanawake pia tumejaaliwa kuwa na mali wako wanaume wanatumia Mali zetu kuolewa na wanatudhulumu wanaturoga ili tufe wachukue Mali zetu hii dunia ya leo wanadamu wote wamebadilika
2026-08-26 06:17:02
0
pacha2006❤️ :
😂😂😂
2026-08-26 10:05:19
0
Princess Tuma.... :
ni mm huyo 🤣
2026-08-26 06:01:32
0
user94953315409303 :
shekh usimalize maneno mshukuru Allah amekuumba mwanamme
2026-08-26 10:56:12
0
Hamra :
😂😂😂ni roho mbaya kweli
2026-08-26 05:48:06
0
Muna Sayed :
😳😳😳
2026-08-26 04:43:36
0
Salmuny Said :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-26 11:02:59
0
To see more videos from user @sheikh_salimu, please go to the Tikwm
homepage.