umetisha japo sielew luga mana umetembea vizur na bit
2026-08-25 19:47:06
6
Happy❤️ :
unajua nyimbo ni kali sana naomba ubadili jina la kisanii kwasababu mda mwingine mtu kuiandika hilo jina la sasa anaweza kosea ama akaandika ndivosivyo tafuta jina rahisi la kisaniii☺️☺️
2026-11-14 06:56:42
2
Lita yang,ombe :
sanaaaaa
2026-08-25 16:59:14
3
imma mpemba sakala :
nyimbo zako you tube sizipati jamaa zinanikosesha hela wanaziulizia sana ase
2026-08-25 18:05:41
3
Frank Magabane :
moto sana
2026-11-11 10:43:10
2
Sophia Peter :
Unaweza sana🙌🙌🙌
2026-11-10 10:53:59
1
Lizzy Charles :
Ujua Sanaa bro
2026-08-26 00:35:57
1
Emmanuel Joseph :
Oy njoo mwakitolyo tuludie hil goma aise nakukubal sana
2026-10-24 14:18:32
3
user7721253614134 :
nimefurahi sana
2026-08-25 22:26:12
1
Mtoto wamama Tz❤️🔥😏🫵 :
Ulhenamghe ulekhe kholanga okhuhoba🥰🥰🥰
2026-08-25 16:46:49
2
Malongo Juma780 :
unakitu sana mzee
2026-09-29 20:16:58
1
uncle V_Tz :
Safi sana mdogo wangu
2026-08-26 05:19:02
2
BEFPA family :
saluti bhabha
2026-08-26 17:58:10
1
marshall igalla :
mi kila nikikutana na mistari Yako bro na like na kucomment
2026-08-27 18:27:59
2
Getruda kasele :
wasukuaa oyeeèeèeee gidiligidili gwa kubha
2026-08-26 06:24:04
1
Dr Makaveli :
qmmake umetisha san na lugha ya mackan🔥
2026-08-27 04:08:23
1
GALIRAYA NKUMBI :
hongera kutuwakilisha vema wasukuma
2026-08-25 17:52:37
1
Lita yang,ombe :
kaka nakukubali sana
2026-08-25 17:06:29
1
Jay Hamisi :
inaitwaje hiyo mjomba
2026-11-12 17:41:52
1
paschalfuli :
hii nyimbo inaitwaje jaman
2026-08-26 10:47:01
1
Monicca :
Htriii
2026-11-11 10:16:17
0
Cathe Daudi :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-11 08:58:20
0
Ms Mchenya01 ❤👊 :
Kaka umetsha sana🔥
2026-11-12 09:31:13
0
Sameer Sameer :
2026-11-12 08:50:11
0
SHELAN :
2026-08-26 13:16:53
0
To see more videos from user @slyvepo_badboy548, please go to the Tikwm
homepage.