@kawanga18m: NAZANI AKITOKA YULE DOGO ANAE FATA NI HUYU WARDAH❤️❤️❤️ TUMPELEKE KWENYE FANI GANI HUYU🙏 Video ya mama yake yule kijana nitaanza kuzipandisha soon🙏 👞 Karibu sana kwa @_fundimiguu @fundimiguu_visual 👞 Pata viatu original, imara na vya kisasa kwa bei nzuri. 📍 Tunapatikana Kariakoo, Narung’ombe na Msimbazi 📞 0762 379 245
Kawanga18M
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 16:28:40 GMT
Music
Download
Comments
Sweetbert Vedasto :
Huyu binti yupo wapi? anapatikana wapi? i want to help her nitafute…Kawanga
2026-08-25 17:57:44
141
Mimahlee07 :
she is so cute 🥰 Allah amsimamie inshallah
2026-08-25 17:18:41
47
Mama F❤️E❤️A❤️ :
Warda anaonekana ni binti mstaarabu sana MUNGU amsaidie apate hitaji la moyo wake 🥰
2026-08-25 16:54:58
266
🦋FIFI🦋🌸🩷⚖️ :
🥺💔cjui nikifa watot wangu itakuaje
2026-08-25 16:41:35
338
MR SALEH🫵🏻 :
Tabasamu la matumaini ndani yake Allah ampe kila hitaji lake inshaallah🙏🏻🙏🏻
2026-08-25 17:46:24
188
dee baddest :
Namuomba niishie nae plzzzz 🥺
2026-08-25 17:49:49
2
Emmywig za watoto :
NATAMANI UNICHUKUE hili neno limenigusa sana🥺
2026-08-25 17:41:33
85
Itiqa_collections :
Huyu kama anapenda ufundi nguo tumpeleke Afa(anacollections) atafanikiwa sana
2026-08-25 17:04:14
93
MR 🍆🍑🍆 :
mashallqh kazuri kapore
2026-08-25 17:50:11
1
Gift term :
Alaf mzur jamn 🥺
2026-08-25 16:59:29
77
ts_beauty_salon1 :
Nipen me nifundishe saloon
2026-08-25 19:30:36
1
simba_aluminium :
duh kaka tunaangaika na uyo dog ad mwanz kumbe wakusaidiw wapo
2026-08-25 17:17:05
56
golder :
so cute aki🥰🥰
2026-08-25 17:44:41
1
Unique :
Kwann kusoma dini jamani
2026-08-25 19:09:29
5
Nyunga Jr 019 :
karembo mashallah
2026-08-25 17:56:49
1
Seif Tito :
god bless you brother
2026-08-25 17:33:35
2
it is Emmy :
Umempa tabasamu mungu a kuongezee broo🥰
2026-08-25 16:59:51
33
Don anseford :
kaka mlete home goms aje kutusaidia kaz
2026-08-25 17:43:59
7
Neema Makere :
Kawanga Umekazania din dini atakula dini maisha yalivyokuwa magum😢Sjawah kuwa na nigative comments Ila kwa hapa dini dini Mungu n mmoja tuu
2026-08-25 18:39:58
5
ladygaga :
yan tabasam lake limeficha maumiv makubwa ....
2026-08-25 17:44:42
13
waah :
warda wajina wangu jmn
2026-08-25 17:00:01
12
datty🌸🌺 :
Yan mzur Alf kashachoka maisha hy yn anauhitaj sana
2026-08-25 17:24:15
45
🌟🔐¥🌹Momy💌🇴🇲🇹🇿 :
huyuu binti mzuri sana nawaza Ht ningerikuwa nyumbani ningemchukuwa nakaishi nae anaonekana ni msitaraabu sana♥️♥️♥️😳🥲🥲🥲😭😭
2026-08-25 17:08:33
23
Nomo96 :
soma dini tena jamani na maisha yalivyokua magumu
2026-08-25 18:11:14
5
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.