@ellyjr06: 😂 HALI YA DIVISION KWA SASA NI VITA 😭⚽ | eFootball 2027#fyyyyyyyyyyyyyyyy eFootball2027 #eFootball #eFootballMobile #for you#viral@TikTok @creator search insights @eFootball™️公式 @mr efoottball
sahhi kka saiv nachz my league tu maan dvsion 2 nikwa moto kwlkwl
2026-08-26 18:59:44
0
SARI_QUOTES✅ :
zima smart assist 😅😅😅 uone utamu wake
2026-08-26 12:30:57
0
Sam De Pazzo :
This guy really helps people who are stuck at the last minute.
2026-08-26 11:14:42
0
dullahm the capalot :
really broo too sad
2026-08-26 17:32:42
0
yasking63 :
Lina umiza sana
2026-08-26 06:02:34
0
france# :
nilikua najiuliza kwamba kwann watu hawachez na AI nikapat majib nilipofika Division ya 4, AI bwana wakiamua mech zilizobak wakufunge tu huwez kupinga kabisa kichapo tyuuu🤣🤣🤣
2026-08-26 12:26:19
7
diaz :
bila kukaza vidole division hautoboi 👍👍
2026-08-26 05:16:03
6
Tuma :
mi mamshukuru mungu nlikuwa division1 ila asaivi nipo 4
2026-08-26 12:07:27
0
killy master :
sasa huyo anayekupita kama upepo au anayekufunga sjui match up aifanyi kazi ipo kwako tu au na na kwa huyo unayecheza naye mana ukisema ivo it means kwamba anayekufunga ivo vipengele kwake hana na havipo sooo NASHINDWA KUELEEEWA
2026-08-26 19:13:18
0
@officialvictor :
unashinda mech moja au mbil unafungwa mechi kumi😂
2026-08-26 10:14:08
0
itsdaffy :
hatimaye leo nimeingia😢
2026-08-25 17:45:16
1
Muuza Vitambaa :
Nimepigwa kama mtoto division
2026-08-26 07:37:34
2
#iam_calvien132 :
Hawakimbiiii wachezaje... game imekuwa gum hatar😂
2026-08-26 06:25:27
1
chaddy_37 :
aikua lahis ata kidogo kufika apa
2026-08-26 07:00:12
1
Isaya daruweshi :
n kwel kabc kak
2026-08-26 04:55:09
0
Mwizas Mashine :
yaan umebakiza mech moja kuingia dv3 alf wf inakata ahhhhh
2026-08-26 06:07:22
0
OTAN_REX :
wanacho kifanya komani kwa sasa ni kutenganisha account za ambao hawajawahi ku spin na wenye hela kaka 😂😂 we spin utaona mabadiliko
2026-08-26 11:15:13
1
king.smile😊 :
🔥😁😁
2026-08-25 17:49:48
1
BALOZI :
hili nilizani mimi tu
2026-08-26 06:34:17
1
Lenox :
dah ni mateso
2026-08-26 21:47:26
0
K.A.B.O.N.G.O🫶👨👩👧 :
😁😁
2026-08-26 19:38:41
0
N.Y👣 :
😂😂😂😂😂😂walio ingia dv 1 kama mimi kwambinde gonga like
2026-08-26 19:30:22
0
khanijo HB :
duh kwel nikajua cm yangu
2026-08-26 08:12:42
1
Scarface :
division apafai saiv
2026-08-27 01:52:01
0
FĪĪŜÅƁĪŁĪ ŁŁÅĤ 🕋 :
kweli aswaaa
2026-08-25 16:54:45
1
To see more videos from user @ellyjr06, please go to the Tikwm
homepage.