@emmanuelmaxmilian3: WAEBRANIA 10:25 25. Wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia. AMEN 🙏
amina kwahuduma zuli ila huo msitar wa walumi 10: 25 nautafuta niusome siuoni mtumishi
2026-08-26 05:18:12
3
stellar kaguo :
Sifa kwa Bwana Yesu Kristo Atutiae nguvu, barikiwa sana Mtumishi
2026-08-25 19:29:43
7
Maichymaghanga :
mtumishi wa Mungu,kanzi nzuri unaifanya, Mungu akubariki,ila hakuna warumi 10: 25 mtumishi 🙏🏼
2026-08-27 09:31:06
1
💖💖💖MĞĤØÏ.Tynah :
bana bible yangu haina Warumi 10:25😂😂
2026-08-26 11:08:39
1
God almighty :
na wenye wanafanya kazi Monday to Saturday without off weekdays apati nafasi itakuwa aje 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-26 12:54:16
0
anabless :
sawa mtumishi lakini warumi 10 :25 haipoooooo
2026-08-26 18:44:51
0
YESU ANA KU PENDA :
ndugu, asante kwatu sambaziya hili neno, Mungu akubariki.
lakini piya, acha kumpatisha huyu mtumishi wa Mungu haya jamani, hii vers haipoooo!
2026-08-26 19:30:38
0
Mara Mara :
safi sana mkingq wangu. songa.mbele
2026-08-26 05:47:44
0
rehemamusayi :
Naomba Nisaidieni na namba ya Maman Pastor huyu.
2026-08-25 23:51:13
0
Esther wakoko :
amen 🙏🏾
2026-08-26 11:44:45
0
kaswera mbatsira :
Amina
2026-08-27 15:56:40
0
chichi :
Amen Amen 🙏 🙌 👏 ❤️
2026-08-26 05:34:00
1
user9652153603433 :
JESUS is LORD amen
2026-08-25 19:32:06
2
Blessing❤ :
mungu nisaidie ni simame tena
2026-08-26 08:32:16
1
b :
Mungu alisema tufanye kaz siku sita ya saba tupumzike kwahiyo hiyo ya saba niyakumfanyia ibada kwanza ibada ya mtu ipo moyon siyo kwenda ibadan maana unaweza ukahudhuria ibada zote bado ukawa huna nguvu biblia unayo unasoma Mungu anakuongoza
2026-08-26 13:07:25
1
ms.___pendo :
👍👍👍👍👍👍👍✝️💪💪💪💪Umenibariki sana mtumishi wa MUNGU yaani umenisema mimi kabisa nimeitwa na MUNGU lakini kila siku ni kurudi nyuma.😭😭😭 Eee Yesu nisamehe mimi🙏🏼🙏🏼🙏🏼mwenye dhambi
2026-08-26 07:09:27
1
Mbarikiwa :
Mungu aliye ndani ya mtumishi Nyisaki ni mkuu sana. Thankyou Jesus.
2026-08-26 05:18:53
1
mtume mary :
restore my salvation oo Lord
2026-08-26 08:10:04
1
To see more videos from user @emmanuelmaxmilian3, please go to the Tikwm
homepage.