@emanuel_walwa: Je, umasikini ni ukosefu wa pesa au ni mindset? 😱 Watu wanalipwa mamilioni lakini bado ni masikini... Mwenye mindset ya utajiri ataanzisha biashara hata akiwa na laki 5 tu! Tazama video nzima YOUTUBE SCCULT ONLINE TV Je, unakubaliana na hili? Dondosha comment yako hapa chini! 👇🔥 #ElimuYaFedha #Mindset #PawaPod #Ujasiriamali #PersonalFinance
mtu alipwe 12M(144 kwa mwaka)alafu alie njaa huo ni uongo mzee! labda walikupanga tu maana watumishi wengi wanaoingiza pesa nyingi hawapendi kujionyesha kwa watu kama wanapesa tofauti na wafanyabiashara wanaflex sana wakipata pesa. umechukua sample ya muajiriwa mmoja unakuja ku generalize kua waajiriwa wote wanalia njaa fanya research vizuri watu wanishi mzee
2026-08-26 07:27:45
9
roro :
Very true..
2026-08-25 20:41:36
3
muba98 :
nalipwa 6,800,000M Kwa mwez naingiziwa posho ya 350,000 Kila tarehe 14 napata 60000 Kila nikingia kazin sik za week end napata 10%kila mwisho wa mwak baada ya maesabu ya kumpuni na malipo yakisha kamilika na bado Sina hela
2026-08-30 05:47:38
4
Humphrey_FXS :
labda sio Mimi million 10 nimetoboa
2026-08-26 10:41:45
2
HardcoreGangster Enterprises :
fact,bro.
2026-08-26 04:04:47
2
Soso :
CAG mwenyewe analipwa million 5 mpaka 7. Professor analipwa million 5 pekee.
2026-08-29 19:23:48
1
Alexander the Great 💪🏿 :
wengi sana
2026-08-26 07:34:22
2
florate_001 :
Sasa jmn tusiajiriwe🥹
2026-08-27 09:40:04
1
🦈 :
sio kweli
2026-08-27 04:36:34
1
@Sensei aman05 :
natamani siku Moja nipate nafasi ya kupata Air time ya kwenye media nitoe elimu ya biashara na maisha kiujumla
2026-08-26 19:39:06
1
Damian :
mwalimu umesema kweli mtupu👍
2026-08-28 17:04:46
1
Baba "B" :
wabunge na mawaziri wote, wakurugenzi sijawahi ona wakilia njaa. acha uongo wanakuongopea😂😂😅
2026-08-27 03:42:11
1
charlesmalekela93 :
hiki kipindi YouTube nakipataje
2026-08-26 11:15:54
2
Blenko Stiches :
Tanzania kama unamake mshahara zaidi ya 2 million ww ni the top one percent ya earners
2026-08-26 19:20:22
1
marrykingi :
ubarikiwe
2026-08-25 23:30:09
1
hamsoshirimahamso :
wachache sana
2026-08-26 06:18:21
2
allynongwa385 :
ii inchi wengi hufaidika kwa wizi
2026-08-26 04:20:23
3
Shakiru Dauda :
Acha kusema M10, aslimia kubwa ya mishahara ya serikal ni lak 7
2026-08-26 15:14:34
3
👑⚜️𝑾𝑰𝑳𝑬𝑾𝑰𝑳𝑬12⚜️👑 :
duuu ... m nikiwa na laki moja tu namuona kila mtu mwizi
2026-08-26 22:49:31
2
Ujimbi Siyo Chai :
bonge la fact
2026-08-25 20:18:32
2
To see more videos from user @emanuel_walwa, please go to the Tikwm
homepage.