Mbona na nyie mukiambiwa leteni hadithi au aya ilio kubali maulidi iko wapii
2026-08-26 06:06:04
0
SUDY MAPESA :
Mswalie Mtume sana kila siku
wewe mwenyewe ukiwa nyumbani kwako kazini njiani. n.k sio mwaka hadi mwaka. watu wanajisahau mpk siku ya maulidi.
2026-08-26 12:56:50
0
Ablatif :
Allah akubariki sheikh wetu Amiin
2026-08-26 10:24:04
2
THE GREEN :
we ustdh anisi nn
2026-08-28 11:29:51
1
Lovely🌹 :
natak hadithi mm inayo elezea kuw maulid n haram man naon mt alipo hamila mji alifanyiwa maulid ss kwann n wakat n haram,semen maulid n jamb ambalo ukifany hupat dhamb n wala hupat thawab
2026-08-26 06:21:35
1
Maher bin albati :
اللهم صل وسلم وبارك عليه
2026-08-27 10:54:54
1
ayshat__. :
astaghfirullah
2026-08-29 17:30:15
0
hamad :
hhhhhhhhh 😂😂😂 duu nikweli sana sheikh Allah akuhifzi
2026-08-26 16:42:59
1
nestar :
iv aya na amri 10 za MUNGU kipi kipo juu?
2026-08-26 04:53:42
0
no bad 😂 :
uhakika shekhe Maan wamezid wallah n wamekua wengi n half vijana wadogo tu
2026-08-26 03:53:49
1
Lukindo Mwinidadi :
walaayaznuun??
2026-08-26 20:32:25
0
jiu :
uelewa nao niriziq
2026-08-26 18:42:03
0
Msongon :
aya gani umekubali maurd ?
2026-08-26 10:36:27
0
شعبان ابن سعيد ✍️✍️ :
Allah akuhifadhi shekh wetu
2026-08-26 04:20:53
0
Abuu- hawah :
ebu msikiliz vzr aliesem ivyo alikua anamaan gani maan Mimi ambae sijasom nimemuelew as ww sheikh kwa nn usimuelew
2026-08-26 08:31:40
0
Khailati Kasaka :
jamani mashekh mbona iyo ten
2026-08-26 06:25:12
0
Kaka tumbo :
kweli
2026-08-29 16:46:25
0
aminzhoblos :
astaghfirullah
2026-08-28 15:28:30
0
machecheo :
Unatumia akil sana kufasiri mamb pima maaswiya na bidaa ipi hatr zaid ?utapat jawab
2026-08-26 16:02:32
0
Abou Abdilssalam kambili :
maulid BIDAA
2026-08-27 10:00:00
0
DULLAH KAPANJE :
BID'AAH inazambi kubwa kuliko kuzuni
2026-08-26 09:42:44
0
Said Salim :
wanahalalisha zinaa ,riba na machafu mengine lkn wanaharamisha kufurahia mazazi ya mtume saw
2026-08-26 04:58:30
3
To see more videos from user @user0777064092, please go to the Tikwm
homepage.