mnisaidie kama kuna dawa ya kunitoa jaman nataeseka akiii
2026-08-30 12:05:38
3
queen magie :
hapan ni dalili za yeye kukupenda
2026-08-31 21:33:55
2
♥️♥️ :
nikujiendekeza tu
2026-08-30 18:37:14
1
😍Tengo Girl -2001😍😘 :
😂 Dah kuna muda nikikosa kazi nikimkumbuka tuu moyo kweri unauma so siri ila nkiwa bize na mitikasi aaa sna mpango ucku sasa nkilala Dah 😂 MH we mgog utanitoa roho mimi
2026-09-01 17:44:37
0
bijuhu juma :
mwenzang ata sjui
2026-08-26 15:40:51
1
mrs 🫂 :
me nahis nimerogw sio akili yang walah
2026-08-31 09:36:57
0
user1565280733334 :
apana inatokea tu afu yeye anakuwa hakuelewi mi imenitokea hivi karibuni alivojua mi ndio nampenda alichokuja kufanyia stakaa nisahau
2026-08-30 18:11:22
0
anitahaleni :
😭 yaaan
2026-08-31 14:51:33
1
Taddy Kibona :
kunamda najisemea au ninapepo sielew
2026-08-28 18:08:43
2
Nsuwi the boy :
nimesoma koment zote nikizan ntapata solution ila nimeona wote HAMNA majibu ACHA niendelee kuteseka😭😭😭