@vaa_na_mimitz: Rafiki yako mrangi anaitwa nani?😂😂😂😂😂😂😂 #vaanamimiitz #vaanamimitz #vaanamimi

Vaa Na Mimi
Vaa Na Mimi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 18:24:32 GMT
51870
1613
494
291

Music

Download

Comments

user1349026326352
husna kidee :
shida ni wazur sana kila mtu anahisi ataibiwa🤣
2026-08-28 17:19:09
112
jamilayahaya81
Jamilah :
tz kabila moja tu tunawatikisa hawaamin😂😂😂😂
2026-08-29 08:00:29
94
sum8738
Sum :
Yani warangi tunawakosesha sana amani wa tanzania 😂😂😂 najivunia kuwa mrangi
2026-10-13 16:10:49
23
shufaakhamis1
Shuu Alliy :
mungu baba tunaomba kwa huruma zako warangi wote tuingia jannah uku dunian tunasemwa sana inshaallah 🤲😂😂😌
2026-10-14 07:34:31
13
swainatymasega
💲 swainaty masega 🇴🇲💞 :
kumbe sisi ni marufu hivi
2026-08-31 16:13:55
33
atrash.marusu
🌹Mrs Ally ✨️💞🇹🇿💍🇰🇪💫🦋 :
vadalaa vanywuu kabisa 🤣🤣🤣🤣
2026-08-30 07:28:20
25
6060saj
sajda :
😂😂😂 nimefrahi makabila yote wanawaogopa warangi na watukome 😏😏
2026-08-30 07:55:55
39
fatma.ally271
fatma ally :
bila kuwataja warangi hamtoboi sisi tupo natutaendelea kuwepo
2026-08-29 23:07:27
36
mwajumakitumba
Mwajuma Kitumba :
warangi wenzangu jmn tujuane🤗hayo makasiriko hayatuhusu😂🥰
2026-08-30 10:00:27
41
alinah0887
Alinah :
iwanyu kabisa la nta yalihya maulu ja mitungaji😁😁
2026-08-30 18:15:38
23
tamjida365
Tam-jida :
sisi mastaa Kila mnapokaa mnakosa amani😂
2026-08-29 08:43:35
22
asiaabdala52
asiaabdala :
lazma muonge maana sio kwa uzur tulojaaliwa🙌
2026-08-30 18:13:53
16
userdeedah2023
dida :
wana roho mbaya hawajui kuishi na wenziwao hat ukijitahid kuwasafia nia lazma watadhihirisha t km wao wana roho mbaya wallah nna ushahid wa hil
2026-09-02 17:16:54
9
user67810026627318
Husna rapha :
pigaaaa kelele kwa warangi tupo ten tumejaa tele
2026-08-30 20:55:39
8
salama3516
salama :
iwanyu kabisa
2026-08-30 12:42:39
8
bikhadijahussein
bikhadij wa shuu 🫀🫀 :
iwanyu
2026-08-30 07:01:39
5
mrseyes20
Zuu Ayoun🇶🇦🇹🇿🌸 :
Tunahakikisha mnachanganyikiwa warangi tunatingisha kila kona 💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼
2026-08-29 16:08:27
6
fatmahhamiss
~🦋Baby Fatuh🦋~ :
Semeni tu hamko na sifa za kuwamilikiii valamawanyu kabisa😄😂😂
2026-08-31 20:24:47
5
najiiii33
FEAZ :
Shida uzuri ukizidi unahisi hautakua peke yako
2026-08-30 09:51:42
6
user5219941846130
بلقيس البطاشي :
iwanyu kabisa
2026-08-28 14:26:30
6
zuhura7049
Aaliyah smart :
Hata sisi hatuwapendi
2026-08-26 04:14:42
16
asmaaramadhanasma
Asmah🇹🇿♥️🇲🇬 :
akaah iwanyu
2026-08-31 09:26:15
4
kajamua4
aim swabiratyBackup :
aya ni mataira viiiii
2026-10-13 20:19:42
2
asiakantu
Asiathebosslady 😊 :
Wenye kabila lao wametiririka humu hadi raha 😂😂😂😂
2026-10-15 13:38:41
1
user677460881796
aisha mwendaa :
iwanyuuu
2026-08-31 09:01:58
0
To see more videos from user @vaa_na_mimitz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About