leo nilienda soko la mabibo kununua mahitaji yangu kadhaa nimeshafungashiwa mazaga kucheki hela hazipo🥺nikaulizwa umezaliwa mkoa gani nikasema iringa nikaambiwa watu wa iringa tunavipaji vyakuzunguka et nizunguke hadi watu wajae pale wamuungishe😭😭😭
2026-08-25 21:07:16
11
shuudaswager :
anaweza kuzungusha maisha yangu uyo😂😂
2026-08-26 05:14:47
8
Stan__umu 2 :
Mpenzi wangu ananizungusha tendo
2026-08-25 19:08:12
7
To see more videos from user @chiefkyando, please go to the Tikwm
homepage.