@clickmaster_1: Hapa ni baada ya kufika kwa ndugu yetu V50 na kama mnavyo ona studio iko katika hatua za mwanzo kabisa za ukarabati, lakini katika hali hii hii nikaona nifanye jambo, kwa sababu wakati tupo njiani tulikutana na mama etu wa mtaani hua tunamuita na kumtania kwa jina la mkwe, mkwe wetu bana alikutana na maswaibu ya kukataliwa kipindi hana kitu sasa saivi anapendeza wanaanza kumsumbua na kimpigia simu nyingi wakati mwanzo walikua wanamkataa, kwaiyo katika majibizano yao akatoa neno la mwisho kwamba ' WE MSHAMBA NINI'🤣 so nimeona ni aidia safi yenye kufikisha ujumbe kwa jamii juu ya hekima ya maisha na jinsi ya kuishi na watu🙏. #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fyp #foryou