@hnswahili: SIRI IMEFICHUKA! Mange Kimambi Aanika Makosa Yaliyomng'oa Nchimbi CCM

HN SWAHILI
HN SWAHILI
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 18:32:10 GMT
24557
831
76
43

Music

Download

Comments

afsheenrahim747
Afsheen Rahim :
kwahiyo tukusaidie Nini sisi wazanzibar
2026-08-25 20:40:58
18
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Watanzania Pambaneni mpate KATIBA mpya
2026-08-25 20:24:48
11
mbarakbosskubwa97
Mbarak Bosskubwa :
hahaha.wacha.weee
2026-08-25 21:29:01
0
alfa23544
alfa :
kisasi ni haki ya kila mtu; au umesahau?
2026-08-25 20:21:13
8
iliasmahsab
brown :
wazanzibar tujuwane hapa
2026-08-25 21:18:25
8
binkassim7
kingi سعيد :
Nani kama mama 🥰
2026-08-26 04:01:03
2
richard.chuwa8
Richard Chuwa :
ila nimekubali sisi watangantika hovyoo
2026-08-25 21:15:17
2
safarilushinila
Safari Lushinila :
mhhhh si urudi sasa na wewe tu fight wote
2026-08-25 19:31:16
3
user8722512466383
user8722512466383 :
mzanzibar ni mtanzania pia
2026-08-26 04:24:55
1
nanaasimba
Nanaa :
Wala hamuyajui wallah mngejua kama mwinyi anapambana kukopa na kuijenga Zanzibar wala msingesema
2026-08-26 00:01:43
1
rashidhaji558
chidybrown :
ila tulisema zaman hatutak muungano mkawateka mashehe mkawaeka ndan
2026-08-26 03:42:05
1
twaha.mohammed8
Twaha Mohammed :
wacha fitina wazanzibar wote ndugu na bara kwa damu kwahiyo wacha kufitinisha
2026-08-25 21:34:07
1
user72394190605690
user72394190605690 :
Tanganyika iliteka zanzibar for 60 years... Sasa kosa liko wapiy
2026-08-25 21:32:05
2
robertmzizima3
Robert Mzizima :
kwani mbona huyu dada huwa anaongea harafu vitu vinatokea aisee🤔
2026-08-26 03:16:30
1
suleiman.vegetabl
Suleiman Vegetable :
Haya mambo zanzibar tulisha pitia mda mrefu sana hadi ukaundwa uwamsho sosi ilikua nikubanwa kwa zanzibar kwenye muungano sasa nyie mnaendeleza tu
2026-08-26 03:03:24
1
mo03376
mo :
USIWAJAZE WATU CHUKI KWANINI AKIKAA M BARA MADARAKANI WAZANZIBARI HAWAZEMI
2026-08-26 03:26:34
0
justinejustinej
Justine :
wananchi kazi yao ni kuchagua tu hayo mengine hayawahusu walio na madaraka wao watapima wanapotea au wapo katika mstari maamuzi ni yao, wananchi hayatuhusu hayatuhusu
2026-08-26 02:56:50
2
user7655877619402
Ali Tour guidé Zanzibar :
Na Bado hamjasema
2026-08-25 23:35:10
1
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
HAKIKA
2026-08-25 20:24:22
2
sultan.rashid72
Sultan Rashid :
maneno yake siku zote ukabila haachi chungeni na huyu anapenda watu wagawanyike Tz ni yetu sote hata Mzanzibar anahaki kua rais
2026-08-25 21:26:20
1
kitwana24
kitwana :
ujuwe iyo Tanganyika ndan yake kuna ukanda wa pwan. free jamuhuri ya ukunda wa pwan pwan huru nchi huru
2026-08-25 20:17:47
1
hussman49
Hussman Jr 💥 :
Acheni ubaguzi banah yani Sasahivi kifanyike kitu2 bc shida ni Zanzibar. Mbon mukikaa wenyewe madarakani sisi hatuongei kitu ila kwavile Zanzibar tu kila cku drama tu
2026-08-26 03:40:22
0
johnsambai905
baba mkwe :
SISI TUKO BUSY NA SIMBA NA YANGA.. TANZANIA HATUJIELEWI .
2026-08-26 04:22:48
0
mdabwada
jey 09 :
rekebisha sauti hatukuelewi
2026-08-26 04:02:45
0
smnm15
K.SALU :
mbona kama nakuelewa kwa mbali embu ngoja nickilize kwa nguvu kama kuna kitu
2026-08-26 03:51:49
1
To see more videos from user @hnswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About