@hamasikatv: Tujifunze kuwa na Ushamba - @georgetherapies Tazama full video tayari ipo youtube search Hamasika Tv kuna madini mengi sana #hamasikatv #hamasikapodcast #badilishamchezo

Hamasika Tv
Hamasika Tv
Open In TikTok:
Region: EN
Tuesday 25 August 2026 18:35:19 GMT
132552
7605
193
646

Music

Download

Comments

nasra5732
L@veness 2025 :
Huyu ni mimi iwe nguo,simu au chochote kwakweli siwezi shindana na viwanda 🙌
2026-08-26 08:06:38
196
irineushind
Irin....❤️💫 :
mimi ndo sihangaikagi na simu😂
2026-08-26 04:22:13
85
j_wash0755
Jacquelin Ephraim :
nina simu aina ya Samsung galaxy A04 ina miaka 9 sasa na nina amani 🤣🤣🤣
2026-08-26 08:48:20
42
zuuh_trends
Miss Zuuh :
KIKUBWA AMANI YA MOYO🤍
2026-08-26 12:18:04
49
yogirlfv
𝐅𝐫𝐨𝐯𝐢𝐚𝐧𝐚🧚 :
umasikini unaniepusha na mengi
2026-08-26 06:09:29
34
ndimbolau
Laurencia :
hahahahah dagaa ni watamu usipozingatia harufu ya pilau kwa jirani
2026-08-26 17:49:53
25
triplegcosmetics1
Valentina Venance :
mimi ndio kabisa mshambaaaa hata bolt siijui
2026-08-30 14:14:34
11
drcatty25j
Dr catty_ healthsolution :
bora kuwa mshamba 📌
2026-08-26 08:36:34
9
neda.donald
Neda Donald :
kbx kbx 🥰
2026-08-26 04:00:00
9
soniajesse32
fanta :
acha tuu nibaki na vivo yangu nilikuwa nikanue macho3😂😂😂
2026-08-26 07:05:42
11
user2282849274014
Risper 😊 :
Big up brother 💪
2026-08-26 11:11:01
5
user2112967883469
pirates'captain :
ukweli mimi nisha kubari kuwa mshamba tuu.
2026-08-29 10:59:33
6
nelson.maestro
nelson maestro :
Point
2026-08-26 09:41:46
5
blessing2459
Blessing :
kiukweli ume ongeya vizuri
2026-08-25 19:47:31
21
user75518351543997
FATMA :
nikwel kaka watakiwa kujkubali
2026-08-26 10:43:40
5
precious_prosper3
theodory :
mi simu yangu imetoboka maana sio kuvunjika kioo🤣
2026-08-26 19:05:31
5
asiandossa843
Asia Ndossa :
haswaa
2026-08-26 03:15:18
8
nakeeb.yusuf
Nakeeb Yusuf :
Broo mimi nimekuelewa sana! na waambie sio kila unaloliona ktk social media ni la ukweli!!!! chagua yakuiga #kua mshamba
2026-08-26 05:25:36
20
johnson.lyakurwa
black tiger :
akuelewa sana
2026-08-25 20:08:42
6
dixonchorwa
Dicho :
Ukweli Mchungu
2026-08-25 20:33:35
5
user92819653015256
abeli kibona :
kwel tembea kwa mwendo wako kaka
2026-08-26 05:15:53
7
hadijamhina6
Midwife(NURSE HADIJA) :
mimi kula ndo kina nitoa roho napenda chakula kizuri lakini simu sijui nguo wala tu jamani kama ni ushamba basi mimi ni mshamba wa mwisho
2026-08-26 09:51:37
5
paskaliaboni76
Mama wa mwanangu :
Mimi ntakwambia muuzaji nataka sim ya laki mbili mashart sas ikae na chaji pia ikiaribika matengenezo yasizid 50 sitakagi hekaheka
2026-08-26 08:48:25
7
furahabeauty20
furaha♥️ :
True📌
2026-08-29 21:57:47
2
miss.p4150
🍂𝐌𝐚𝐫𝐢𝐚𝐦 𝐀𝐮𝐫𝐚 ⟡🥀 :
fact💯
2026-08-29 21:51:30
1
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About