@faidikatv: #tiktok #trending #fyp #worldwide

Faidika tv
Faidika tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 18:48:21 GMT
23205
1383
142
302

Music

Download

Comments

najma.abdul3
Najma Abdul :
Allah atufungulie vizazi vyetu,tunaoangaika🙏
2026-08-26 08:43:03
70
mariam.nyumba7
Mariam Nyumba :
Mm cpat hedh nisha2mia madawa ya hospital tela hzo za asil ucseme sas iv nasubir kudra za Mung
2026-08-26 15:57:24
4
ka.mamii3
ka mamii :
asante
2026-08-26 07:43:33
1
rr8863506gmail.com
Rahma Rashidy💦🦋 :
mimi uyo nahangaika jaman
2026-08-26 16:59:10
1
mwanaid.nassoro75
Mwanaid Nassoro :
mm mmoja wapo
2026-08-26 18:12:26
1
user902979924054
user902979924054 :
asante cheikh
2026-08-26 19:44:16
1
user2559682409615
user2559682409615 :
unapatikana wapi nikuone?
2026-08-26 14:23:36
1
user9487019729446
Mrs Ibrahim ♥️💍 :
na tiba yake ni Nini?
2026-08-26 20:04:23
1
sumathir.og8
Sumathir og :
mm nlikuwa napata dalil zote za mimb ikifika cku period mapnde ya dam cpital nkenda uvimbe naambiwa ndio unaosababisha ila mm nahic kuna wat wananifnyia vitu
2026-08-26 13:12:28
7
suzanaalphonce0
suzanaalphonce0 :
mbona umenigusa mimi jamani, nakupata wapi? mi niko mwanza
2026-08-27 08:06:22
1
user8129883856904
user8129883856904 :
na mwanamme anaweza kutumia hii dawa?
2026-08-26 18:53:32
1
nasra2530
Nasra❤️❤️ :
Yaan mm nikiingia siku za hedhi ndo jinimahaba anakuja kuniingilia aisee na mimba sishiki
2026-08-27 20:05:35
1
salhiyaali941
Salhiya Ali :
Aminn Allah akulipe kher
2026-08-26 14:06:52
1
fabulous.asish
♥️🦋Asish😍🦋 :
Allah atufungulie vizazi vyetu SubhanaAllah 🥹
2026-08-26 14:07:45
1
chifu686
Chifu :
upo sehemu gani shehe
2026-08-26 10:46:14
1
aminamusajee
Ms Minahy🫂❤️ :
Allah Huma amen 🤲 Allah atufungue vifungo tuliofungwa ya Allah
2026-08-26 12:40:22
1
mohamedkhamis373
Mohamed Khamis :
naomba namba
2026-08-26 14:40:11
0
jokhathani
jokhathani :
Shukran
2026-08-26 19:09:33
1
user9487019729446
Mrs Ibrahim ♥️💍 :
Ustadh samahan,ikiwa umepata nyoka amekuingia sehem za Siri inamanisha Nini?
2026-08-26 19:54:44
1
change202026
Shu Royale 111 :
mbegu ya figili za mboga au ni figili ipi shekhe ??🙏
2026-08-26 09:29:50
2
shuu0930
shuu :
namba ya sim shehe
2026-08-26 09:40:25
1
shabanisaidi907
Shabani Saidi :
inshallah
2026-08-26 17:22:15
1
chifu686
Chifu :
mimi nikohivyo
2026-08-26 10:46:35
1
zuu.baby68
zuu baby :
asalam alaykum vipimo va dawa saizi gani
2026-08-26 08:00:04
1
ummu.haajra
Ummu Haajra💞 :
ntapatapi hzo mbegu za figili.je ziko duka za dawa za asili
2026-08-26 11:07:10
1
To see more videos from user @faidikatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About