@jvckieseven: baada ya diss track ya rado kumvuruga fid q, ilibidi atulie kidogo kufikiria nini cha kufanya ndipo akapata wazo la kumtumia mzee wa commercial AY kujibu mapigo. wengi walidhani wimbo wa august 13 ndo ulikua diss track ya kumjibu rado lakini sio kweli, wimbo wa AY ndio ulikua jibu na kama unavyoona mwishoni mwa wimbo Fid Q anajikeza kuongea yaan kupigilia msumari wa mwisho. KITU KIZURI KWENYE HILI BIFU NI KWAMBA LILITULETEA NYIMBO KALI SANA ZA MUDA WOTE 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 August 2026 18:55:56 GMT
35417
2077
44
14

Music

Download

Comments

dejacko_og
DeJacko_Og :
Msipende kupotosha UMMA.. sasa AY na RADO waligusana wapi?
2026-08-26 16:37:01
8
abrahamuronu
Abraham Uronu :
rado
2026-08-26 12:10:43
2
kaliuaplustz
Kaliua Plus Tz :
Sema RADO aliua sana
2026-08-26 11:40:56
3
legasi.tz
Legasi :
nina rohoo mbaya adi leo simkumbuki rado..fid q kiberiti feat mhaya... saida kaloli...
2026-08-26 12:05:13
4
temu.bahati
killy Temu 🙏 :
ilo beat ni 🔥🔥🔥🔥
2026-08-27 21:00:44
0
b.boy.rasta
B.BOY.RASTA 👊 :
usiulize
2026-08-28 07:24:37
0
dullytronix
dully Tronix :
hiyo Ngoma ya Rado ni 🔥🔥🔥 alafu beat lenyewe linajieleza Tu alafu mistari aliyoimba humo ndo balaaa
2026-08-27 11:00:51
2
user44507906129332
UKIJA NAKUTOMBA :
hivi rado bdo yupo hai na je kma yupo mbn simuon kwenye tamasha la bongo flavor
2026-08-26 23:02:10
0
peterdrexioustz
Peter DrexiousTz🇩🇪🇹🇿 :
alimjibu kwenyeee Trak ya mwanza mwanza
2026-08-27 15:00:19
0
user1375802322651
daudi macha :
noma sana
2026-08-30 07:54:18
0
ochuu59
Ochu tz :
Fire
2026-08-28 07:55:28
0
user2757542931943
Mzawa og :
siyo mbaya rado na fid q wana FAMIRIA wa rock city
2026-08-26 17:12:06
0
bondage025
BONDAGE :
We jamaa wimbo wa Rado kitambo sana kulingana huu wimbo wa AY.
2026-08-26 15:43:46
0
user60057930405086
ben :
diss ya fid kwenda kwa Rado ni "ni hayo tu" ft prof jay & langa
2026-08-26 15:05:37
0
user727673132266
IGA :
awapi
2026-08-26 08:26:14
1
sicheki.na.wowote
Abdul :
ila ngoma kali
2026-08-26 19:14:31
0
dmsdamas
Dms Damas :
hii beet haijawaikutokea
2026-08-26 12:02:48
1
reswanyika
Reswanyika :
Ndo najua leo kuwa lilikuwa bifuu
2026-08-27 14:21:04
1
godlovenelson
Godlov🇲🇽 :
rodo bet kal mno
2026-08-29 08:13:01
0
kimwagayanga
Kimwaga Yanga :
ngoma hii nadhani ni ya NYUMA zaidi kuliko ya rado usiulize
2026-08-28 21:05:45
0
costa.kienge
Costa kienge :
🥰🥰🥰
2026-08-26 23:06:25
0
gohalema41
faddy feisal truck driver :
😂😂😂
2026-08-26 07:23:51
1
godlovenelson
Godlov🇲🇽 :
🍁👍
2026-08-29 08:12:10
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About